Ili tundeee tunahitaji mambo manne . watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora

na kumbuka kawimbo haka tullimba sana miaka hiyo primary school.
 
"Mtu anayekimbilia Ikulu muogopeni kama ugonjwa wa ukoma" Mwl JK Nyerere
"Watakaokiuka sheria nitawashukia kama kipanga (mwewe)" Marehemu S. Kinyondo
 
"Mpanda ngazi hushuka" ni msemo wa kale ambao waswahili wengi tunaujua. Inaonekana msemo huu 'umepotezwa' maana na mzee mmoja wa Kiraracha ambaye alifanya kazi kwa bidii, akafanikiwa sana akawa na mali nyingi sana. Aliwalea watoto wake aliobahatika kuzaa WAkike na WAkiume wakarithi vizuri juhudi zake. Walifanya kazi za utafutaji mali na wakawa matajiri kuliko baba yao. Siku moja huyo mzee wa Kiraracha akiwa katika gumzo la kawaida na wazee wenzake ambao nao wanazo mali za kutosha, aliamua kuuharibu/kuukosoa huo msemo wa wahenga. Alisema:- "Nimepanda ngazi halafu watoto wangu wamekuja na kuiondoa, sasa nitashukaje?" Maana yake yeye katajirika halafu watoto wake wote wakawa matajiri zaidi ni namna gani ataurudia umasikini?

Labda tushee hii, huo msemo haujapondwa na huyo mzee wa Kiraracha?
 
''Hivi sasa matumaini yetu yapo kwa Mwenyezi Mungu kujaalia mvua za masika ziwe nzuri. Kama hilo halitatokea nchi yetu itakumbwa na tatizo kubwa la upungufu wa chakula na bei za vyakula kuwa kubwa zaidi.'' our president J. K.
 
''Hivi sasa matumaini yetu yapo kwa Mwenyezi Mungu kujaalia mvua za masika ziwe nzuri. Kama hilo halitatokea nchi yetu itakumbwa na tatizo kubwa la upungufu wa chakula na bei za vyakula kuwa kubwa zaidi.'' our president J. K.

Raisi wa nchi anayeongoza Karne ya ishirini na moja hatakiwi kusema hivi asilani, maziwa makubwa matatu tunayo nchini Tanganyika, Nyasa na Victoria, mito mikubwa zaidi ya kumi tunayo hapa tanzania rufiji, ruvu, pangani, ruvuma, malagarasi, kagera, ruaha, kiwira, lufilyo, rungwa. Maziwa madogo Rukwa, natron, manyara na eyasi halafu raisi anasema mungu atujalie mvua vinginevyo tutakufa njaa.

Rasilimali za kutumia hivyo vyanzo vya maji kuirrigate nchi tunazo.

Where are our priorities, really.

Hii kweli ni Tanzania nchi ambayo comedian anapata tuzo ya muziki na mwnamuziki mahiri hapati tuzo ya muziki, sishangai kabisa.
 
Jambo lolote la kweli huwa halina haja ya ushahidi. Jambo la uongo huhitaji ushahidi ambao mara nyingi nao ni wa uongo. Epuka ushahidi ili ubakie mkweli.
 
2 decades ago when Volkswagen (VW) changed tradition of making cars with engines at the back were quoted saying our engines are back in front.
 
You come to love not by finding the perfect person, but by seeing an imperfect person perfectly.
 
Back
Top Bottom