K Killing machine JF-Expert Member Jul 24, 2022 1,206 1,350 Mar 13, 2024 #4,321 Usimchukie mtu kwa sababu ana chukiana na mtu wako wa karibu kwa sababu hujui Nani alikuwa mkorofi Kati yao
Usimchukie mtu kwa sababu ana chukiana na mtu wako wa karibu kwa sababu hujui Nani alikuwa mkorofi Kati yao
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,503 86,053 Tuesday at 11:35 AM #4,323 usinishauri utanichanganya
mkakaflani Senior Member Sep 30, 2023 119 277 Yesterday at 9:15 PM #4,324 Dunia ina mengi, fanya kuchukua yanayokuhusu, mengine waachie yanayowahusu, ukitaka vyote utakosa vyote
Dunia ina mengi, fanya kuchukua yanayokuhusu, mengine waachie yanayowahusu, ukitaka vyote utakosa vyote