Hapa tutakuwa tunaweka nukuu/quotes mbali mbali za watu mashuhuri. Unaachiwa uwanja mpana kuchagua nani kwa wewe unamuona mashuhuri unatuwekea nukuu yake. Lengo la nukuu/quotes hizo ni kujifunza kutokana na nukuu/quotes hizo.

Karibuni sana

“Life is 10% what happens to you and 90% how you react to it.”
― Charles R. Swindoll

How did we react to the 2015 stimulus? Our Life until recently, was determined by how we reacted to it
 
"Mimi huwa nina wacheki ninasema hiiiiii!" - Mzee baba apumzike kwa amani.
 
Hapa tutakuwa tunaweka nukuu/quotes mbali mbali za watu mashuhuri. Unaachiwa uwanja mpana kuchagua nani kwa wewe unamuona mashuhuri unatuwekea nukuu yake. Lengo la nukuu/quotes hizo ni kujifunza kutokana na nukuu/quotes hizo.

Karibuni sana

“Life is 10% what happens to you and 90% how you react to it.”
― Charles R. Swindoll

How did we react to the 2015 stimulus? Our Life until recently, was determined by how we reacted to it
There's daggers in men's smiles
-Mcbeth - shakespear
 
Mahathma ganndhi (sina uhakika )

Aliwahi kusema "be the change that you want to see in the worlD"

Mtume muhammad aliwahi kusema "Wivu wa Mungu unakuja ni pale mtu anapoyaendea(kuyafanya) aliyoyaharamisha huyo Mungu"

Mtume muhammad aliwahi kusema "Ongeza japo maji kwenye mchuzi wako ili upate kumpa na jirani yako "

Mtusme aliwahi kusema pia "sio katika sisi mtu ambae hawaheshimu wakubwa (waliomzidi umri"
 
Unaona mafunzo makubwa sana hayo. Kuna kitu nimepata
 
Back
Top Bottom