Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

Sio sifa tu bwashehe,ndio uhalisia hakuna namna. Hutaki ndio hivyo hivyo,unataka ndio hivyo hivyo.
Mfano wengi wanadhani Israel inaitegemea Marekani kwenye mambo mengi. Lakini uhalisi Marekani inamtegemea sana Israel.
Bro ongea ukiwa unajua unachoongea usije ukajiaibisha. Hakuna sehem yeyote Marekani anaitegemea Israel. Kihistoria America imejengwa na IRISH MEN. Kisayansi na uvumbuzi hadi sasa America imejengwa na Asian-Americans sana sana Japanese,Chinese na Indians.
Sasa uniambie wewe hiyo Marekani inamtegemea Israel upande gani!??
Msikae mkadanganyana vijiweni huko acheni.
 
Wewe kijiwe chako huwadanganyi na hizi propaganda zako?. Nani amekudanganya kwamba wewe unachoamini ndio sahihi?
 
Wewe kijiwe chako huwadanganyi na hizi propaganda zako?. Nani amekudanganya kwamba wewe unachoamini ndio sahihi?
Nikuletee article za historia ya Marekani yenyewe!? Maana tunaenda kiushahidi.
Nimekuambia nitajie wapi Marekani anaitegemea Israel!? Mie ninaweza kuthibitisha nilichosema wewe je unaweza!?
Achana na hayo ma conspiracy ya AIPAC kijana.
 
Huo msaada wa US kwa Israel ni peanut 🥜...US mwenyewe anaitegemea Israel Kwa tech. ivyo ni fifty fifty. Ni vile Israel Haina kelele kama US.

GDP ya Israel inajieleza, ni miongoni mwa nchi tajiri duniani na pia inatoa misaada Kwa nchi nyingi duniani eg. Jordan na nchi nyingi za kiarabu wanaitegemea Israel Kwa 80% kupata maji safi.

Pia Israel inategemewa Kwa cyber security na nchi nyingi duniani, technological innovations ya Israel ndio inaifanya nchi yao kuwa tajiri.
 
Huo msaada wa US kwa Israel ni peanut
Peanut?kampuni za Marekani imewekeza zaidi ya USD 52 Billion kwa mwaka hapo bila kugusa tariff waivers wanazopewa biashara za Israel wanazouza USA in billion of dollars. Ukichanganya vyote inakaribia USD 100 Billion!! alfu unasema ni peanuts?
Pia Israel inategemewa Kwa cyber security na nchi nyingi duniani
Sio kwa sababu ni experts bali ni lobbying tu. Ni sawa na mtoto wa kigogo au rais mstaafu apewe tender na serikali ni sababu ya lobbying tu sio VIGEZO pekee.
GDP ya Israel inajieleza, ni miongoni mwa nchi tajiri duniani
Ni kanchi kadogo sana huku kanapewa fedha zote hizo na US, obvious hata Malawi ikiwa na mzigo wa USD 100 Billion kutoka US kweli itashindwa kuwa nchi tajiri duniani ndani ya miaka zaidi ya 75 sasa?
 
Nikuletee article za historia ya Marekani yenyewe!? Maana tunaenda kiushahidi.
Nimekuambia nitajie wapi Marekani anaitegemea Israel!? Mie ninaweza kuthibitisha nilichosema wewe je unaweza!?
Achana na hayo ma conspiracy ya AIPAC kijana.
Huna lolote unapuyanga tu kijana. Wanasayansi wengi wa Marekani ni Waisrael. Maendeleo ya Marekani kwenye teknorojia ni WaIsrael. Wewe kwa akili yako hata huhangaishi akili yako Marekani anawezaje kuwa bega kwa bega na Israel bila masrahi yake?

Kitu kimoja nilichokinote kwako hutaki kusikia kwamba Israel ina power kwenye maswala mengi ksbb ya imani yako. Israel sio kama unavyoidogosha.

Kwako baki na imani yako,hakuna haja ukomaze mishipa ya shingo kunitafutia mimi evidence yoyote. Sina chochote cha kujifunza kwako.
 
Israel haipokei financial aids kutoka US au EU, Israel inawauzia technology na inalipwa.

Ata silaha inanunua kutoka hayo mataifa Kwa pesa zake Kwa malipo ya cash na instalments na in kind(technology and investigative info)

Kwa wasiofahamu ni kwamba E U na US, Russia na ata China wanaitazama Israel kwa picha ya kwamba bila Israel uwepo wao na ustawi wao kiuchumi utafifia. Ingawa Kwa wanasiasa hili wanalichukulia tofauti maana hawana classified info za uwezo wa Israel na influential yao Kwa chumi zao. Eg. Mwananchi wa kawaida na mwanasiasa wa kimarekni anaona Israel inasaidiwa lakini Pentagon na FBI wanajua undani wa Siri za technology yao ya kijasusi inawezeshwa na Israel.
jipige mkono kifuani useme wee ni tahira
 
Unaisifia nchi ambayo inapokea UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS kutoka Ulaya na Marekani!??
Israel haina sifa hizo unazoipa hapa.
Millitary complex USA,economic budget USA and EU. Ndio unakuja kuipa sifa nchi kama hiyo!??
umemaliza kila kitu
Israel haina ubora inaopewa kiakili, kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi kama inavyosemwa. Tatizo ni kwamba tunasoma taarifa za upande mmoja tunaruka kuandika nyuzi humu JF. Tujiulize kwanini kuna AIPAC ndani ya Marekani na hata Ulaya kama sio kwa ajili ya kuikuza Israel ki propaganda?
uko sawa
Hapa na uyole mbeya kuna tofauti ganiView attachment 3680858
uhewa wa viongozi wetu
Marekani akiacha kuwalinda na hayo yakadumu na kuwafanya wawe imara, nitaamini kweli umachokisema
uko sawa kabisa
Huo msaada wa US kwa Israel ni peanut 🥜...US mwenyewe anaitegemea Israel Kwa tech. ivyo ni fifty fifty. Ni vile Israel Haina kelele kama US.

GDP ya Israel inajieleza, ni miongoni mwa nchi tajiri duniani na pia inatoa misaada Kwa nchi nyingi duniani eg. Jordan na nchi nyingi za kiarabu wanaitegemea Israel Kwa 80% kupata maji safi.

Pia Israel inategemewa Kwa cyber security na nchi nyingi duniani, technological innovations ya Israel ndio inaifanya nchi yao kuwa tajiri.
upimwe akili
 
Huna lolote unapuyanga tu kijana. Wanasayansi wengi wa Marekani ni Waisrael. Maendeleo ya Marekani kwenye teknorojia ni WaIsrael. Wewe kwa akili yako hata huhangaishi akili yako Marekani anawezaje kuwa bega kwa bega na Israel bila masrahi yake?
Unasikitisha sana tena sana. Mbona Obama na Biden walipunguza huo umuhimu wa Israel kwa Marekani!?? Tukuletee majina ya wanasayansi wakubwa wa Marekani hapa tuone kama kuna jina la Muisrael!? Asiyetaka kushughulisha ubongo ni mimi au wewe!?
Nenda kasome kaunzia 1919 hadi 1947 kwanini Marekani na Ulaya wanakaa bega kwa bega na Israel. Unasikitisha sana kijana.
Kitu kimoja nilichokinote kwako hutaki kusikia kwamba Israel ina power kwenye maswala mengi ksbb ya imani yako. Israel sio kama unavyoidogosha.
Israel ni ndogo ndio wala haihusiani na masuala ya kiimani. NI FALA TU KAMA WEWE UKIISHIWA HOJA UNAKIMBILIA KATIKA IMANI.
Kwako baki na imani yako,hakuna haja ukomaze mishipa ya shingo kunitafutia mimi evidence yoyote. Sina chochote cha kujifunza kwako.
KAMA MIMI SITANUI UBONGO KUFIKIRIA KWANINI UNAKATAA USHAHIDI!? WEWE SI MSOMI UNAJUA KULIKO WENZAKO!? KWANINI UKATAE USHAHIDI!?
SASA WEWE IMANI YA DINI NDIO IMEKUTAWALA,YALE ULIYOAMINISHWA NA PADRI WAKO KANISANI HAUTAKI UREKEBISHWE KUWA NI UONGO.
Nakuhurumia BAKI NA UPUMBAVU WAKO MAANA HUO SIO UJINGA TENA.
 
Msemo mmoja maarufu nchini Israel unasema: "Musa alituzungusha jangwani kwa miaka 40 na hatimaye kutulaza sehemu pekee ya Mashariki ya Kati isiyo na hata tone moja la mafuta."

Pamoja na kuwa na eneo dogo (zaidi ya 60% ikiwa ni jangwa la Negev), kutokuwa na dhahabu, mafuta, wala madini ya thamani, na kuzungukwa na majirani wenye uadui wa kihistoria, Israel ina GDP per capita ya zaidi ya $50,000—ikizipita nchi nyingi za Ulaya kama Uingereza, Ufaransa, na Japan.

Siri ya utajiri wa Israel bila rasilimali za ardhini inategemea misingi mikuu mitano:

1. Nchi nyingi zenye mafuta au dhahabu huingia kwenye mtego unaoitwa Resource Curse—utajiri wa ardhini huzaa rushwa, uvivu wa ubunifu, na kutegemea bidhaa moja.

Kwa sababu Israel hakuwa na kitu ardhini, ililazimika "kuchimba" rasilimali pekee iliyokuwa nayo: ubongo wa mwanadamu.

Israel ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kutumia asilimia kubwa zaidi ya Pato la Taifa (zaidi ya 5.6% ya GDP) kwenye utafiti wa kisayansi na kiteknolojia.

Mfumo wao wa elimu unasisitiza sayansi, hesabu, na kompyuta (coding) tangu shule ya msingi.

2. Nchini Israel, huduma ya jeshi ni ya lazima kwa kila kijana wa miaka 18 (miaka 2.5 kwa wanaume, miaka 2 kwa wanawake). Lakini jeshi la Israel (IDF) halifundishi tu kurusha risasi

Unit 8200: Kitengo hiki cha kijasusi cha kimtandao (cyber-intelligence) kinakusanya vijana wenye akili nyingi zaidi za hesabu na kompyuta.

wakiwa na miaka 18–21, vijana hawa wanapewa jukumu la kulinda mfumo wa ulinzi wa nchi dhidi ya mashambulizi ya cyber na kutengeneza mifumo tata ya AI na radar.

Wanapotoka jeshini wakiwa na miaka 22, badala ya kutafuta ajira, wanatoka wakiwa na timu na uzoefu wa kiwango cha juu. Makampuni makubwa ya cybersecurity na AI duniani yalianzishwa na waliokuwa wanajeshi wa Unit 8200.

3. Israel inajulikana duniani kama Start-Up Nation. Ina idadi kubwa zaidi ya makampuni ya teknolojia (startups) kwa kila raia kuliko nchi yoyote duniani nje ya Silicon Valley.

Badala ya kuuza mafuta ghafi, Israel inauza Intellectual Property (IP) na teknolojia ya bei mbaya:

Cybersecurity: Zaidi ya 20% ya uwekezaji wote wa kimataifa kwenye ulinzi wa mtandao (cybersecurity) huenda Israel (makampuni kama Check Point, Palo Alto Networks).

Magari Yasiyo na Dereva: Kampuni ya Mobileye (iliyounda mfumo wa kamera na sensors za magari ya self-driving) ilinunuliwa na Intel kwa $15.3 bilioni.

Apps & Software: Software maarufu nyingi sana kama Viber zimetengenezwa Israel.

4. Uhaba wa maji na udongo wa rutuba uliilazimisha Israel kuvumbua teknolojia ambazo leo inaziuza duniani kote:

Kampuni ya Netafim ya Israel iligundua mfumo wa umwagiliaji wa matone unaookoa 90% ya maji. Leo teknolojia hii inatumika duniani kote.

Israel ndiyo kinara duniani wa kugeuza maji ya chumvi ya Bahari ya Mediterania kuwa maji safi ya kunywa. Leo hii, si tu kwamba wana maji ya kutosha ndani ya nchi, bali wanaiuzia maji nchi jirani ya Jordan.

Uuzaji wa Chakula Jangwani: Pamoja na kuwa jangwa, Israel inazalisha 95% ya chakula chake yenyewe na kuuza matunda na mboga za majani barani Ulaya wakati wa majira ya baridi.

5. Katika utamaduni wa Israel, ni kawaida kwa mfanyakazi wa kawaida au askari wa ngazi ya chini kumkosoa bosi au jenerali wake kama ana wazo bora. Hakuna uongozi wa ki-feudal au woga wa mamlaka.

Kutokogopa Kufeli: Kuanzisha biashara na ikafeli haionekani kama aibu au laana, bali kama somo.

Israel inavutia mabilioni ya dola za mitaji kutoka Marekani, Ulaya, na mtandao mkubwa wa Wayahudi duniani wanaowekeza kwenye tafiti na biashara zao.

Somo kubwa kutoka kwa Israel ni kwamba: Madini na mafuta yaliyopo ardhini yana ukomo, lakini utajiri unaotengenezwa na ubongo wa mwanadamu hauna kikomo.
Na kwa kujua hilo leo hii Dubai, chanzo chake kikubwa cha mapato sio tena mafuta, fatilia uone.
Hao jamaa akili walishapewa kitambo sana kuna myahudi akiitwa Yusufu Misri wanalijua balaa lake milele. Maana alipewa akili na Mungu mpaka Pharaoh akastaajab akasema tupate wapi mtu kama huyu. Akili za Yusufu zilikuwa za kupindukia maana ndiye chanzo cha central banks na pension funds zilizopo sasa duniani. Huyo jamaa kwa akili zake aliiokoa Misri isiwe na njaa wakati dunia nzima kulikuwa na njaa.
 
wewe akili za kuandika hapa umepewa na mtak????????????
 
Ikumbukwe pia kuwa mpaka kufikia mwaka 2026, tayari 25% ya tuzo zote za Nobel za washindi wa sayansi ni waisrael, licha ya kwamba idadi ya waisrael wote duniani ni 0.2% tu.

Waisrael taifa linaloongoza kwa gunduzi nyingi zaidi duniani ambazo zimekuwa na faida kubwa Kwa wanadamu. Hakuna huduma ya kisayansi duniani eg. Matibabu, kijeshi, chakula, internet etc ambazo hazina mchango wa muisrael.

Tofauti na wengi wanavyofikiri, ukweli ni kwamba Marekani ndie anamtegemea muisrael kuendeleza technology yake, na hii ndio sababu kwa nini Marekani hawezi kuacha kusimama na Israel.

Waarabu halisi wanajua nguvu ya myahudi na ndio maana uwa wanaishia tu kubweka ndani ya fensi uku wakiogopa kupambana nae direct.
Fikra za kiinjilisti hizi ,inachapwa na drone ya milioni 50,inaipangua KWA kutumia bilioni moja,ndo ipo mbele kiteknolojia?
Humu amekuleta nani?
 
Hizi ndo akili ulizorithi Kwa Mohammed, wakati Mungu anagawa akili wenzetu mlikuwa wapi ndugu?

Uwezo wa Israel kiakili na kiteknolojia uko wazi, kama hujui kutafuta taarifa nakushauri jaribu ata kuingia google utapewa majibu sahihi...

Just type "the list of Jews/Israel's contributions on technological innovations and discoveries"

Utapata majibu ya uhakika, changia mada Kwa akili na ushahidi...acha kuongozwa na Quran na chuki za kidini, wivu dhidi ya wenye akili kwa kukosa kwako akili.
 
Back
Top Bottom