Uzuri kwenye data MAPUMBAVU yanakaa pembeni,.......yaani population ya watu kama Dar na Mwanza combined wapewe Trillioni 10 angalau Kila mwaka,wawe masikini?
Hapana hii haiwezekani😀😆😆
Uzuri kwenye data MAPUMBAVU yanakaa pembeni,.......yaani population ya watu kama Dar na Mwanza combined wapewe Trillioni 10 angalau Kila mwaka,wawe masikini?
Kwa akili yako unaangalia hela tu? Kuna zaidi ya pesa na vitu. Kuna maswala nyeti zaidi ya pesa. Kuna maswala ya interagency, kuna maswala ya kiufundi,maendeleo ya sayansi.Marekani inamtegemea israhell kwa mwaka inapokea kiasi gani kutoka israhell
Kwaakili zako yote hayo unaweza kuyafanya kama huna pesa😁Kwa akili yako unaangalia hela tu? Kuna zaidi ya pesa na vitu. Kuna maswala nyeti zaidi ya pesa. Kuna maswala ya interagency, kuna maswala ya kiufundi,maendeleo ya sayansi.
****** wako. Kwahiyo hizo kampuni ndio zinaiendesha Marekani!? Huo ni uwekezaji binafsi tu. Ingelikua hivyo Netanyahu asingeomba msaada 2021 usisitishwe pale walipomuua Sherin Abu Akleh. Mbona hayo makampuni hayakuenda kuwekeza Israel?Matacore yako
Hizi biashara zote ni za waisrael
Vipi ile boycott movement ya kususia hizi kampuni za Jews ilifikia wapi ?
Mbona China haikupewa ilhali China ina vipawa kuliko Israel!?Wewe Nchi Yako kwanini isipewe?
Ndio. Kuna nchi nyingi zimeizidi Israel Nominal GDP ila kwasababu zina population kubwa Israel imewazidi GDP per capita. Kama unabisha tukuletee ushahidi.Kwa hiyo uchache wa watu ndio unao determine GDP per Capita size ?
Kuna mfirauni mwenye kuendekeza utamaduni wa kufirana kama waarabu waanzilishi wa uislam?Naona tokea parade lenu safari hii liingie nuksi mumekua na hasira sana
Kama mungekua na akili mungekua munasherehekea kufirana na kusagana
Mtaandika mengi sana lakini ukweli utabaki palepale kwamba Israel ni nchi ambayo nafasi yake kiuchumi imechangiwa na akili za watu wake kuliko rasilimali za asili.Unajua uchumi wewe? Umewahi fanya analysis yoyote ya kiuchumi? Huwa unapopima uchumi wa nchi husika unaweka na nchi za "level" yake. Mfano Tanzania utailinganisha na Kenya, UG kupata muktadha alafu ndio una gauge dhidi ya wastani wa AU na baadae OECD, EU, ASEAN n.k
Huwezi weka GDP ya Israel alafu ukashindanisha na China au Japan alafu ukasema per capita anawazidi!!
Mfano Japan ina watoto chini ya miaka 15 takribani million 14 ilihali population nzima ya israel ni million 10!! Sasa mpaka hapo lazima per capita ya Israel itakua juu ila ukipiga hesabu ya GDP nominal tu au PPP Israel imeachwa na Japan zaidi ya mara 7 yaani USD 4.4 Trillion dhidi ya Israel USD 600 Billion.
Pia japan inatumia pegged foreign exchange system kwahiyo pesa yake inashushwa thamani kimaksudi kwa ajili ya faida za kibiashara. Ndio maana hata fedha ya Botswana na Ghana ina thamani dhidi ya Yen lakini je zimeizidi chochote Japan?;
Iran wasemeje? Jangwa tupu ila wamesurvive miaka 50 je Israel ingeweza toboa hata mwaka!!Mtaandika mengi sana lakini ukweli utabaki palepale kwamba Israel ni nchi ambayo nafasi yake kiuchumi imechangiwa na akili za watu wake kuliko rasilimali za asili.
Ireland na Swiss zina watu chini ya 10 million ila zimeacha Israel kwenye nominal GDP!!Nchi ya watu milioni 10 kuwa na Nominal GDP karibu dola bilioni 800 kwa mwaka sio mchezo kwani hata Rwanda na Burundi zina watu wengi zaidi ya Israel lakini hawawezi kuwa na Nominal GDP kubwa kama hiyo.
GDP inahesabu mpka investment za USA hapo Israel sio raia pekee ingekua raia tu ingeitwa GNP. So US na EU wakichomoa fedha zao hapo Israel watabaki na GDP ya USD 100 Billion pekee. Hivi unajua deni la serikali ya Israel ni USD 500 Billion? Nchi serious inaweza kuwa na deni la 70% ya uchumi wake? Sio himilivuAngalia Japan hiyo GDP yao ya USD trilioni 4+ imechangiwa na watu wangapi halafu Israel nayo GDP yao ya USD trilioni 790 imechangiwa na watu wangapi ndipo utapata jibu.
Wanaoongoza kwa idadi ya mashoga ni wakristo. Ukitaka ushahidi nakuletea. Israel kwa mwaka kila mwezi June inafanya GAY PRIDE PARADE ambao wanahudhuria zaidi ya mashoga milioni 4. Na wote ni wakristo na wayahudi.Kuna mfirauni mwenye kuendekeza utamaduni wa kufirana kama waarabu waanzilishi wa uislam?
Hii imerithiwa na watu wa Pwani ndio maana waislam wa Pwani yote ndio wanaongoza kwa idadi ya mashoga.
Iran imepoteza makamanda wake zaidi ya 600 akiwemo kiongozi wao mkuu wa kidini Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hao Magaidi wa Iran bado tu hawajaamua?Hii threads imeniumiza sana roho. Jinsi ambavyo sisi tunaichukia Israel wewe unakuja kuzungumzia mazuri ya Israel namna hii. Huendi Mbinguni na tutakushambulia kwa IDs zetu zote. Hatutaki kusikia kuhusu akili za hawa jamaa. Hii ni nchi ndogo tu maskini hata sisi tunawazidi. Hamna kitu kabisa pale. Hohe hahe kabisa hiyo nchi. Iran ikiamua inaifuta ndani ya dk 5 tu hakibaki kitu
Iran imepoteza makamanda wake zaidi ya 600 akiwemo kiongozi wao mkuu wa kidini Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hao Magaidi wa Iran bado tu hawajaamua?
Angalia mizoga ya magaidi wa Iran!!
Hatari sana.Msemo mmoja maarufu nchini Israel unasema: "Musa alituzungusha jangwani kwa miaka 40 na hatimaye kutulaza sehemu pekee ya Mashariki ya Kati isiyo na hata tone moja la mafuta."
Pamoja na kuwa na eneo dogo (zaidi ya 60% ikiwa ni jangwa la Negev), kutokuwa na dhahabu, mafuta, wala madini ya thamani, na kuzungukwa na majirani wenye uadui wa kihistoria, Israel ina GDP per capita ya zaidi ya $50,000—ikizipita nchi nyingi za Ulaya kama Uingereza, Ufaransa, na Japan.
Siri ya utajiri wa Israel bila rasilimali za ardhini inategemea misingi mikuu mitano:
1. Nchi nyingi zenye mafuta au dhahabu huingia kwenye mtego unaoitwa Resource Curse—utajiri wa ardhini huzaa rushwa, uvivu wa ubunifu, na kutegemea bidhaa moja.
Kwa sababu Israel hakuwa na kitu ardhini, ililazimika "kuchimba" rasilimali pekee iliyokuwa nayo: ubongo wa mwanadamu.
Israel ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kutumia asilimia kubwa zaidi ya Pato la Taifa (zaidi ya 5.6% ya GDP) kwenye utafiti wa kisayansi na kiteknolojia.
Mfumo wao wa elimu unasisitiza sayansi, hesabu, na kompyuta (coding) tangu shule ya msingi.
2. Nchini Israel, huduma ya jeshi ni ya lazima kwa kila kijana wa miaka 18 (miaka 2.5 kwa wanaume, miaka 2 kwa wanawake). Lakini jeshi la Israel (IDF) halifundishi tu kurusha risasi
Unit 8200: Kitengo hiki cha kijasusi cha kimtandao (cyber-intelligence) kinakusanya vijana wenye akili nyingi zaidi za hesabu na kompyuta.
wakiwa na miaka 18–21, vijana hawa wanapewa jukumu la kulinda mfumo wa ulinzi wa nchi dhidi ya mashambulizi ya cyber na kutengeneza mifumo tata ya AI na radar.
Wanapotoka jeshini wakiwa na miaka 22, badala ya kutafuta ajira, wanatoka wakiwa na timu na uzoefu wa kiwango cha juu. Makampuni makubwa ya cybersecurity na AI duniani yalianzishwa na waliokuwa wanajeshi wa Unit 8200.
3. Israel inajulikana duniani kama Start-Up Nation. Ina idadi kubwa zaidi ya makampuni ya teknolojia (startups) kwa kila raia kuliko nchi yoyote duniani nje ya Silicon Valley.
Badala ya kuuza mafuta ghafi, Israel inauza Intellectual Property (IP) na teknolojia ya bei mbaya:
Cybersecurity: Zaidi ya 20% ya uwekezaji wote wa kimataifa kwenye ulinzi wa mtandao (cybersecurity) huenda Israel (makampuni kama Check Point, Palo Alto Networks).
Magari Yasiyo na Dereva: Kampuni ya Mobileye (iliyounda mfumo wa kamera na sensors za magari ya self-driving) ilinunuliwa na Intel kwa $15.3 bilioni.
Apps & Software: Software maarufu nyingi sana kama Viber zimetengenezwa Israel.
4. Uhaba wa maji na udongo wa rutuba uliilazimisha Israel kuvumbua teknolojia ambazo leo inaziuza duniani kote:
Kampuni ya Netafim ya Israel iligundua mfumo wa umwagiliaji wa matone unaookoa 90% ya maji. Leo teknolojia hii inatumika duniani kote.
Israel ndiyo kinara duniani wa kugeuza maji ya chumvi ya Bahari ya Mediterania kuwa maji safi ya kunywa. Leo hii, si tu kwamba wana maji ya kutosha ndani ya nchi, bali wanaiuzia maji nchi jirani ya Jordan.
Uuzaji wa Chakula Jangwani: Pamoja na kuwa jangwa, Israel inazalisha 95% ya chakula chake yenyewe na kuuza matunda na mboga za majani barani Ulaya wakati wa majira ya baridi.
5. Katika utamaduni wa Israel, ni kawaida kwa mfanyakazi wa kawaida au askari wa ngazi ya chini kumkosoa bosi au jenerali wake kama ana wazo bora. Hakuna uongozi wa ki-feudal au woga wa mamlaka.
Kutokogopa Kufeli: Kuanzisha biashara na ikafeli haionekani kama aibu au laana, bali kama somo.
Israel inavutia mabilioni ya dola za mitaji kutoka Marekani, Ulaya, na mtandao mkubwa wa Wayahudi duniani wanaowekeza kwenye tafiti na biashara zao.
Somo kubwa kutoka kwa Israel ni kwamba: Madini na mafuta yaliyopo ardhini yana ukomo, lakini utajiri unaotengenezwa na ubongo wa mwanadamu hauna kikomo.
Na kwa kujua hilo leo hii Dubai, chanzo chake kikubwa cha mapato sio tena mafuta, fatilia uone.