Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

Mmekosa hoja mmebakiza visingizio-Uchwara!!

Tukiwaambia Israel ni taifa teule muwe mnakubali mbwa nyie!!!
Taifa teule kwakua kila mwaka munakua na parade lenu kule la kifirana na kusagana
Munatia kinyaa sana yaani nyie viumbe
 
Hizi ndo akili ulizorithi Kwa Mohammed, wakati Mungu anagawa akili wenzetu mlikuwa wapi ndugu?

Uwezo wa Israel kiakili na kiteknolojia uko wazi, kama hujui kutafuta taarifa nakushauri jaribu ata kuingia google utapewa majibu sahihi...

Just type "the list of Jews/Israel's contributions on technological innovations and discoveries"

Utapata majibu ya uhakika, changia mada Kwa akili na ushahidi...acha kuongozwa na Quran na chuki za kidini, wivu dhidi ya wenye akili kwa kukosa kwako akili.
Naona tokea parade lenu safari hii liingie nuksi mumekua na hasira sana
Kama mungekua na akili mungekua munasherehekea kufirana na kusagana
 
Akili ndogo za Wafuga Midevu na Majini zinakusumbua hata hivyo Israel itaendelea kuwa juu tu na kuwaua magaidi popote waliko!!!
Kama akili ndogo za kufirana na kusagana zinavyo kusumbua
Ndio maana watu wanavaa nguo wewe unavaa khanga
 
Kwanza hauna taarifa sahihi Israel mbona ina gas reserves za zaidi ya futi za ujazo Trillion 22+ hivi.

Pia ina GDP per capita kubwa sababu ina watu wachache sana huwezi linganisha na Japan yenye watu zaidi ya million 20 ambao watoto pekee ni zaidi ya million 50 wasiofanya kazi yoyote!!

Ilipaswa ulinganishe Israel na vinchi vidogo vyenzake kama Brunei, Cyprus, Greece, Malta n.k
Kwa hiyo uchache wa watu ndio unao determine GDP per Capita size ?
 
Israel haina ubora inaopewa kiakili, kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi kama inavyosemwa. Tatizo ni kwamba tunasoma taarifa za upande mmoja tunaruka kuandika nyuzi humu JF. Tujiulize kwanini kuna AIPAC ndani ya Marekani na hata Ulaya kama sio kwa ajili ya kuikuza Israel ki propaganda?
 

Attachments

  • Screenshot_20261024-073740.png
    Screenshot_20261024-073740.png
    354.7 KB · Views: 3
Wao hawapewi hata nusu na robo ya msaada wanaopewa israhell
Waislam hamnaga aklili ni chuki tu dhidi ya Israel


Nchi za Africa ndio zinaongoza Kwa kupewa misaada. Niambie kitu Gani mmefanya cha maana.
 

Attachments

  • Screenshot_20261024-074318.png
    Screenshot_20261024-074318.png
    174.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20261024-074318.png
    Screenshot_20261024-074318.png
    174.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20261024-074306.png
    Screenshot_20261024-074306.png
    416.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20261024-074241.png
    Screenshot_20261024-074241.png
    223.7 KB · Views: 2
Bro ongea ukiwa unajua unachoongea usije ukajiaibisha. Hakuna sehem yeyote Marekani anaitegemea Israel. Kihistoria America imejengwa na IRISH MEN. Kisayansi na uvumbuzi hadi sasa America imejengwa na Asian-Americans sana sana Japanese,Chinese na Indians.
Sasa uniambie wewe hiyo Marekani inamtegemea Israel upande gani!??
Msikae mkadanganyana vijiweni huko acheni.
Matacore yako


Hizi biashara zote ni za waisrael


Vipi ile boycott movement ya kususia hizi kampuni za Jews ilifikia wapi ?
 

Attachments

  • Screenshot_20261024-075812.png
    Screenshot_20261024-075812.png
    1.9 MB · Views: 2
  • Screenshot_20261024-075708.png
    Screenshot_20261024-075708.png
    2.5 MB · Views: 3
Hii threads imeniumiza sana roho. Jinsi ambavyo sisi tunaichukia Israel wewe unakuja kuzungumzia mazuri ya Israel namna hii. Huendi Mbinguni na tutakushambulia kwa IDs zetu zote. Hatutaki kusikia kuhusu akili za hawa jamaa. Hii ni nchi ndogo tu maskini hata sisi tunawazidi. Hamna kitu kabisa pale. Hohe hahe kabisa hiyo nchi. Iran ikiamua inaifuta ndani ya dk 5 tu hakibaki kitu
 
Sio sifa tu bwashehe,ndio uhalisia hakuna namna. Hutaki ndio hivyo hivyo,unataka ndio hivyo hivyo.
Mfano wengi wanadhani Israel inaitegemea Marekani kwenye mambo mengi. Lakini uhalisi Marekani inamtegemea sana Israel.
Marekani inamtegemea israhell kwa mwaka inapokea kiasi gani kutoka israhell
 
Waislam hamnaga aklili ni chuki tu dhidi ya Israel


Nchi za Africa ndio zinaongoza Kwa kupewa misaada. Niambie kitu Gani mmefanya cha maana.
😁😁😁 kama hizi zako ndio akili si bora niwe sina akili tu ntaonekana nna akili
Wagalatia wote wangekua kama wewe ndio wangezidi kua vilaza kabisa yaani
Ethiopia ndio nchi inayopewa msaada sana Africa na inapewa $900M kwa mwaka
Wakati huo huo hao mnao washerehekea wanao andaa matamasha ya kuwataka mufirane na kusagana wanapewa kwamwa $3.3Billion
Hapa unafananishaje mbingu na ardhi ?????
 
Kwa hiyo uchache wa watu ndio unao determine GDP per Capita size ?
Umeelewa hoja? Yaani USD Billions zote hizo zimewekezwa na USA kwenye kanchi kadogo size ya Dar obviously per capita itakua juu sana huwezi linganisha na nchi kubwa kama Egypt yenye watu 120 Million!!

Ndio maana nmekupa na mfano wa Taiwan ambapo USA imewekeza mabilion na unaona kanchi kadogo kamekua top 20 ya nchi zenye per capita kubwa.
 
Waislam hamnaga aklili ni chuki tu dhidi ya Israel


Nchi za Africa ndio zinaongoza Kwa kupewa misaada. Niambie kitu Gani mmefanya cha maana.
Achana na misaada tu angalia na uwekezaji na zero tariff rates kwa mwaka inafika USD 100 Billion hapo Israel.

Sasa kwa kanchi kama Israel kenye GDP ya USD 700 Billion huoni hiyo ni game changer?
 
S
Msemo mmoja maarufu nchini Israel unasema: "Musa alituzungusha jangwani kwa miaka 40 na hatimaye kutulaza sehemu pekee ya Mashariki ya Kati isiyo na hata tone moja la mafuta."

Pamoja na kuwa na eneo dogo (zaidi ya 60% ikiwa ni jangwa la Negev), kutokuwa na dhahabu, mafuta, wala madini ya thamani, na kuzungukwa na majirani wenye uadui wa kihistoria, Israel ina GDP per capita ya zaidi ya $50,000—ikizipita nchi nyingi za Ulaya kama Uingereza, Ufaransa, na Japan.

Siri ya utajiri wa Israel bila rasilimali za ardhini inategemea misingi mikuu mitano:

1. Nchi nyingi zenye mafuta au dhahabu huingia kwenye mtego unaoitwa Resource Curse—utajiri wa ardhini huzaa rushwa, uvivu wa ubunifu, na kutegemea bidhaa moja.

Kwa sababu Israel hakuwa na kitu ardhini, ililazimika "kuchimba" rasilimali pekee iliyokuwa nayo: ubongo wa mwanadamu.

Israel ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kutumia asilimia kubwa zaidi ya Pato la Taifa (zaidi ya 5.6% ya GDP) kwenye utafiti wa kisayansi na kiteknolojia.

Mfumo wao wa elimu unasisitiza sayansi, hesabu, na kompyuta (coding) tangu shule ya msingi.

2. Nchini Israel, huduma ya jeshi ni ya lazima kwa kila kijana wa miaka 18 (miaka 2.5 kwa wanaume, miaka 2 kwa wanawake). Lakini jeshi la Israel (IDF) halifundishi tu kurusha risasi

Unit 8200: Kitengo hiki cha kijasusi cha kimtandao (cyber-intelligence) kinakusanya vijana wenye akili nyingi zaidi za hesabu na kompyuta.

wakiwa na miaka 18–21, vijana hawa wanapewa jukumu la kulinda mfumo wa ulinzi wa nchi dhidi ya mashambulizi ya cyber na kutengeneza mifumo tata ya AI na radar.

Wanapotoka jeshini wakiwa na miaka 22, badala ya kutafuta ajira, wanatoka wakiwa na timu na uzoefu wa kiwango cha juu. Makampuni makubwa ya cybersecurity na AI duniani yalianzishwa na waliokuwa wanajeshi wa Unit 8200.

3. Israel inajulikana duniani kama Start-Up Nation. Ina idadi kubwa zaidi ya makampuni ya teknolojia (startups) kwa kila raia kuliko nchi yoyote duniani nje ya Silicon Valley.

Badala ya kuuza mafuta ghafi, Israel inauza Intellectual Property (IP) na teknolojia ya bei mbaya:

Cybersecurity: Zaidi ya 20% ya uwekezaji wote wa kimataifa kwenye ulinzi wa mtandao (cybersecurity) huenda Israel (makampuni kama Check Point, Palo Alto Networks).

Magari Yasiyo na Dereva: Kampuni ya Mobileye (iliyounda mfumo wa kamera na sensors za magari ya self-driving) ilinunuliwa na Intel kwa $15.3 bilioni.

Apps & Software: Software maarufu nyingi sana kama Viber zimetengenezwa Israel.

4. Uhaba wa maji na udongo wa rutuba uliilazimisha Israel kuvumbua teknolojia ambazo leo inaziuza duniani kote:

Kampuni ya Netafim ya Israel iligundua mfumo wa umwagiliaji wa matone unaookoa 90% ya maji. Leo teknolojia hii inatumika duniani kote.

Israel ndiyo kinara duniani wa kugeuza maji ya chumvi ya Bahari ya Mediterania kuwa maji safi ya kunywa. Leo hii, si tu kwamba wana maji ya kutosha ndani ya nchi, bali wanaiuzia maji nchi jirani ya Jordan.

Uuzaji wa Chakula Jangwani: Pamoja na kuwa jangwa, Israel inazalisha 95% ya chakula chake yenyewe na kuuza matunda na mboga za majani barani Ulaya wakati wa majira ya baridi.

5. Katika utamaduni wa Israel, ni kawaida kwa mfanyakazi wa kawaida au askari wa ngazi ya chini kumkosoa bosi au jenerali wake kama ana wazo bora. Hakuna uongozi wa ki-feudal au woga wa mamlaka.

Kutokogopa Kufeli: Kuanzisha biashara na ikafeli haionekani kama aibu au laana, bali kama somo.

Israel inavutia mabilioni ya dola za mitaji kutoka Marekani, Ulaya, na mtandao mkubwa wa Wayahudi duniani wanaowekeza kwenye tafiti na biashara zao.

Somo kubwa kutoka kwa Israel ni kwamba: Madini na mafuta yaliyopo ardhini yana ukomo, lakini utajiri unaotengenezwa na ubongo wa mwanadamu hauna kikomo.
Na kwa kujua hilo leo hii Dubai, chanzo chake kikubwa cha mapato sio tena mafuta, fatilia uone.
Siri ya survival ya Israel ni CIA ya U.S.A,msaada ambao Israel inapewa hata Burundi wakipewa wanakua Superpower,.......acheni propaganda za kujipendekeza
 
Back
Top Bottom