Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,407
- 37,976
Ila Lgbtq mutaunga mkonoWavaa vipedo wata Pinga hili.
Ila Lgbtq mutaunga mkonoWavaa vipedo wata Pinga hili.
Acha ubwege! Kwa hiyo Israel ana uspesho gani mpaka USA na EU wamshokee hivyo? Kwa nini wasiipe Tanzagiza hiyo unconditional aid?Unaisifia nchi ambayo inapokea UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS kutoka Ulaya na Marekani!??
Israel haina sifa hizo unazoipa hapa.
Millitary complex USA,economic budget USA and EU. Ndio unakuja kuipa sifa nchi kama hiyo!??
Kwa hiyo we mgawa Utamu kama jina lako (Bi Utamu) linavo jinasibu kumbe ni mvaa kipedo pia?Ila Lgbtq mutaunga mkono
Acha Ufala nenda kasome kuhusu AIPAC na Rothschild family na sakata la mwanasesere wa kuimiliki middle east ndio utaelewa kwanini USA na EU wanailinda sana Israel. Sawa we kuku maji!?Acha ubwege! Kwa hiyo Israel ana uspesho gani mpaka USA na EU wamshokee hivyo? Kwa nini wasiipe Tanzagiza hiyo unconditional aid?
Linda mgongo wako mie sio vitu vyanguKwa hiyo we mgawa Utamu kama jina lako (Bi Utamu) linavo jinasibu kumbe ni mvaa kipedo pia?
Rwanda, Burundi, Eswatini, Togo nk, ni vi-nchi vidogo vidogo tu kama Israel lakini ebu jaribu kulinganisha GDP zao na ya Israel tuone.Kwanza hauna taarifa sahihi Israel mbona ina gas reserves za zaidi ya futi za ujazo Trillion 22+ hivi.
Pia ina GDP per capita kubwa sababu ina watu wachache sana huwezi linganisha na Japan yenye watu zaidi ya million 20 ambao watoto pekee ni zaidi ya million 50 wasiofanya kazi yoyote!!
Ilipaswa ulinganishe Israel na vinchi vidogo vyenzake kama Brunei, Cyprus, Greece, Malta n.k
Jiulize kwanini Taifa lako halipokei hizo so called "UNCONDTIONAL FINANCIAL AIDS"? Unahisi unapokea tu hata kama vilaza?Unaisifia nchi ambayo inapokea UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS kutoka Ulaya na Marekani!??
Israel haina sifa hizo unazoipa hapa.
Millitary complex USA,economic budget USA and EU. Ndio unakuja kuipa sifa nchi kama hiyo!??
Sio kweli labda unaongea chini ya udini tu.Israel haina ubora inaopewa kiakili, kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi kama inavyosemwa. Tatizo ni kwamba tunasoma taarifa za upande mmoja tunaruka kuandika nyuzi humu JF. Tujiulize kwanini kuna AIPAC ndani ya Marekani na hata Ulaya kama sio kwa ajili ya kuikuza Israel ki propaganda?
Wewe acha stori za vijiweni. Tupe ushahidi kwamba wanapewa USD billion 100 kila mwaka.Nchi yenye watu 6M,
Ikapewa 100B kila mwaka na marekani lazima iendelee,
Rushwa, wizi, umalaya upo tu kila sehemu na ndo maana nentanyahu anakesi ya rushwa.
So, there is nothing special ni muda mrefu wa pesa za bure za marekani ndo zimewafikiaha hapo
Taifa lina ukubwa sawa na Kigamboni, limezungukwa na mataifa zaidi ya sita ambayo toka miaka ya 1940s yanayotamani kuona ikifutika kwenye uso wa dunia. Ila bado yupo.Israel haina ubora inaopewa kiakili, kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi kama inavyosemwa. Tatizo ni kwamba tunasoma taarifa za upande mmoja tunaruka kuandika nyuzi humu JF. Tujiulize kwanini kuna AIPAC ndani ya Marekani na hata Ulaya kama sio kwa ajili ya kuikuza Israel ki propaganda?
Unajua uchumi wewe? Umewahi fanya analysis yoyote ya kiuchumi? Huwa unapopima uchumi wa nchi husika unaweka na nchi za "level" yake. Mfano Tanzania utailinganisha na Kenya, UG kupata muktadha alafu ndio una gauge dhidi ya wastani wa AU na baadae OECD, EU, ASEAN n.kRwanda, Burundi, Eswatini, Togo nk, ni vi-nchi vidogo vidogo tu kama Israel lakini ebu jaribu kulinganisha GDP zao na ya Israel tuone.
Bado yupo sababu analindwa na USA, ila bila hivyo angeshapigwa zamani sana. Hata Trump mwenyewe amesema kuwa bila USA hao Israel si lolote si chochote mbele ya iran na wengineo.Taifa lina ukubwa sawa na Kigamboni, limezungukwa na mataifa zaidi ya sita ambayo toka miaka ya 1940s yanayotamani kuona ikifutika kwenye uso wa dunia. Ila bado yupo.
Hawana ushawishi wwowote WANAHONGA. Hiyo AIPAC ya marekani inahonga mabilioni ya dollar kwa wanasiasa wa marekani ili wapitishe sheria na sera zinazowalinda. Bila hizo rushwa hakuna ushawishi wowote walionao. In fact wanahonga kakundi kadogo ka wanasiasa ila wananchi wa US kwa ujumla wake hawakubali wayahudi.Israel ana nguvu ya ushawishi ambayo hakuna Taifa hapa duniani linaifikia. Wamarekani wenyewe kuna muda wanasema Taifa lao linaongozwa na Israel
Hivi unaelewa hata GDP inahesabiwaje? Nikikwambia uchumi wa Tanzania unakuwa kuliko wa Israel na USA utaamini? Kwa mujibu wa World Bank uchumi wa TZ unakua kwa 6% huku Israel ni 3% na USA ni 2%??Sio kweli labda unaongea chini ya ya udini tu.
Haiwezekani nchi ya watu kama milioni 10 tu hivi wawe na GDP kubwa hivyo halafu useme tu eti inakuzwa hapo ni kutokutumia akili.
Sasa Tanzania na watu takriban milioni 70 kwa nini wasiwe na GDP kama hiyo au unafikiri GDP zinatolewa kwa kujuana.
Siwakubali wayahudi ila ni wapambanaji tu kama zilivyo jamii nyingine , Morocco casablanca wayahudi wapo na wanajiweza kwa kusaidiana kama jamii nyingine tu dunianiMarekani akiacha kuwalinda na hayo yakadumu na kuwafanya wawe imara, nitaamini kweli umachokisema