Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,530
- 7,919
Endelea tu kubwabwaja na Israel itaendelea kuwa juu tu kinyume na Matarajio ya Wafuga Midevu na Majini!!!Israel inapokea financial aid toka kwa hayo mataifa na ushahidi ntakuletea. Hayo mataifa uliyoyataja yana technological advancement kuliko hata Israel tena kwa mbali sana.
Hapa usidanganye watu. Israel HAINA MCHANGO WOWOTE katika uchumi wa CHINA huwenda ukisema Russia ntakuelewa.