Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Lakini tumejaliwa na subuana watara kuoa majini yahee
..pia kwa mujibu wa mtume wetu mtukufu kajalia kuwa kama yeye muhammad akimpiga denda mwanaume mwenzie basi huyo mwanaume aliye nyonywa mate na muhammad ana ingia peponi moja kwa moja
Takbriiii
 
Acha matusi, mkiristo gani wewe 0 brain?
Matusi yako wapi .....ni maneno ya mtume wetu mtukufu kuwa akimpiga denda baba yako basi babayako ni peponi moja kwa moja kama unabisha tumuite adriz ulama wa maulama
 
Hivi leo ikiwa wafanyakazi watapitishiwa watoe maoni kuhusu vima afya watakubali waendeshwe kama hivi? Wakiristo sikilizeni hoja kwanza
Hivi huyo sheikh anafahamu maana ya neno "Bima"?
 
Hivi huyo sheikh anafahamu maana ya neno "Bima"?
Bima ya Kiislamu ni mfumo wa bima ambao unafuata misingi ya sheria za Kiislamu (Shariah). Mfumo huu unajulikana kama Takaful, na ni tofauti na bima ya kawaida ya kibiashara kwa sababu haitegemei riba, kamari (maisir), au gharar (kutokuwa na uhakika). Takaful ni mfumo wa ushirikiano ambapo wanachama huchangia pesa ili kusaidiana na kufidia gharama za matibabu au majanga yanayowakumba.


---

Msingi wa Bima ya Kiislamu (Takaful)

1. Kusaidiana (Cooperation):
Katika mfumo wa Takaful, wanachama wa bima huchangia fedha kwa ajili ya kusaidiana na kupunguza hasara au gharama zinazoweza kutokea kutokana na ajali au magonjwa. Hii ni kwa msingi wa ushirikiano badala ya faida ya kibiashara.


2. Mfumo wa Ushirikiano:
Wanachama wanachangia kwenye mfuko wa pamoja. Inapotokea madhara au matatizo (kama vile ajali, magonjwa, au kifo), fedha zilizochangwa hutumika kusaidia walioathirika. Hii ni tofauti na bima ya kibiashara ambapo kampuni ya bima inapata faida kutoka kwa michango ya wanachama.


3. Haramu kwa Riba:
Takaful inakataza riba, ambayo ni kipengele cha msingi katika bima ya kibiashara. Hivyo, faida zinazopatikana katika Takaful hazitoki kwenye uwekezaji wa riba
 
Umemsikiliza? Au kwa sababu hoja katoa muislam? Bima ya afya yetu ipo ktk mfumo wa haki?
Bima kama tafsiri ilivyo ni sahihi ila kitu cha kujadili ni mfumo wake kama unakidhi mahitaji na kuendeshwa kwa weledi na haki!
 
Maoni ya Wanazuoni Wengi wa Kiislamu

Wanazuoni wengi wa Kiislamu wanasema bima ya kawaida (commercial insurance) inaweza kuwa haramu kwa sababu:

Kuna gharar (kutokuwa na uhakika) – haijulikani mtu atapata faida au hasara.

Kuna riba – faida inayopatikana isivyo halali.

WAKIRISTO MKIONA HOJA YA SHEIKH MSIJE KWA CHUKI , SIKU YA SIKU MWISHO WA SIKU MNAKUJA KUKUBALI KWA MLANGO WA NYUMA

Kuna kamari (maisir) – mtu anaweza kulipa bila kupata chochote.
Toa tafsiri ya bima kwa kiislam labda utaeleweka.
 
Mtume alisema ukila tende na hajuwa ni Tiba tosha
Pia ukinywa Mkojo wa ngamia ni Tiba tosha
 
Kuna Sheria na Normal Practice.
Ikiwa ni haramu kweli kwa mujibu wa Sheria za dini wanazofuata, kujazana huko kunaondoa uharamu huo?
 
Lakini tumejaliwa na subuana watara kuoa majini yahee
..pia kwa mujibu wa mtume wetu mtukufu kajalia kuwa kama yeye muhammad akimpiga denda mwanaume mwenzie basi huyo mwanaume aliye nyonywa mate na muhammad ana ingia peponi moja kwa moja
Shekh, Mtume wetu, Mtume Mohamad Sallallahu Alaihi Wasallam (S.A.W) alikua pia akibusu uume wa mjukuu wake Hassan (Hasan).

I saw the Messenger of Allah pbuh putting Husein’s legs apart and kissing his penis. Hadith by Imam al-Haithami.

Haya ni matukio yanayomfanya mtume wetu kuwa wa kipekee na wa kubarikiwa na Allah Subhanahu Wa Ta'ala (S.W.T)
 
Shekh, Mtume wetu, Mtume Mohamad Sallallahu Alaihi Wasallam (S.A.W) alikua pia akibusu uume wa mjukuu wake Hassan (Hasan).

I saw the Messenger of Allah pbuh putting Husein’s legs apart and kissing his penis. Hadith by Imam al-Haithami.

Haya ni matukio yanayomfanya mtume wetu kuwa wa kipekee na wa kubarikiwa na Allah Subhanahu Wa Ta'ala (S.W.T)
Wakiristo mnapotea hivi hivi kwa ujahili wenu
 
Dawa za kienyeji mbona zitamika sana India kwa wakiristo wenzio. Wewe kumbe 0 brain
Hii nchi ina wenyenchi walanchi na wananchi kuendelea kuwachagua ni kwenda na mchanga m-bichi

Endelea kukariri koroani
 
Kwenye sheria zao si ipo had unajiunga maanayake umekubali Sasa anataka makubaliano yapi Tena ndio maana wanasaini fomu na wanatoa maelekezo pia
 
Uko sahihi

Mfano uislamu unakataza riba

Lakini nenda kwenye benki zote watoza riba kama CRDB, NMB,BOT,Azania nk wamejazana wafanyakazi waislamu kibao tena swala tano na kutwa hulalama kuwa nafasi ziongezwe za ajira kwa waislamu

Wanakubali wenyewe kwa hiari kuwa sehemu ya mfumo riba
naam , mambo kama hayo waumini na viongozi wakae kuyajadili sasa.

hili la bima angetoa ushauri wa namna gani ya kulisapoti angeeleweka
 
uislamu wa tanzagiza huo, i blessed the day Wamishionari walivyokanyaga ardhi yetu vinginevyo leo hii wote tungekuwa muslims and backward, kule nigeria wanazuia watoto kwenda shuleni, hatari kweli kweli …
Maendeleo hayaletwi au kukwamishwa na dini. Vp huko saudia, Qatar n.k ni wamissionary wamepeleka maendeleo??? Uislamu umehimiza watu kutafuta elimu ktk fani tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom