Kama hukuumwa? Pesa inarudi?Una akili kweli wewe?
Kama hukuumwa? Pesa inarudi?Una akili kweli wewe?
AkamatweAkihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima.
Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
View attachment 3317374
Kwanini? Kama hukuumwa pesa inaenda wapi?Akamatwe
Atajua mamaK
Kwanini? Kama hukuumwa pesa inaenda wapi?
Mkuu kama ukikata Bima ya moto au gari lisipopata ajali utaebda kuclaim kurudushiwa pesa mbona hoja dhaifu sana.Kama hukuumwa? Pesa inarudi?
Ni lazima kukataa? Au option?Mkuu kama ukikata Bima ya moto au gari lisipopata ajali utaebda kuclaim kurudushiwa pesa mbona hoja dhaifu sana.
Ukiajiriwa Bima mnakatiwa kwenye vyombo vya moto Bima ni lazima huyo sheihk wako ubwabwa hakuna kitu anajua bhana.Ni lazima kukataa? Au option?
Wakiristo wegi tunaona wanatolewa mapepo na wahungaji wa makanisani, wakiristo ndio wanaongoza kutoana mapepo ktk makanisa na sio waislamuWana bima zao za afya za asili(hirizi) ambazo zimefungwa ndani karatasi ambazo zimeandikwa maandishi ya kiarabu
Bima ya afya inaendeshwa kwa mfumo wa risk pooling, group la watu wanashare majanga yao kwa pamoja badala ya kulibeba mwenyewe.Umemsikiliza? Au kwa sababu hoja katoa muislam? Bima ya afya yetu ipo ktk mfumo wa haki?
Ulikotoka uislam Saudi Arabia Kuna bima ya afya.Maoni ya Wanazuoni Wengi wa Kiislamu
Wanazuoni wengi wa Kiislamu wanasema bima ya kawaida (commercial insurance) inaweza kuwa haramu kwa sababu:
Kuna gharar (kutokuwa na uhakika) – haijulikani mtu atapata faida au hasara.
Kuna riba – faida inayopatikana isivyo halali.
WAKIRISTO MKIONA HOJA YA SHEIKH MSIJE KWA CHUKI , SIKU YA SIKU MWISHO WA SIKU MNAKUJA KUKUBALI KWA MLANGO WA NYUMA
Kuna kamari (maisir) – mtu anaweza kulipa bila kupata chochote.
Kwa hiari kwa lazima? Jee wewe mfumo huo unatenda haki?Ukiajiriwa Bima mnakatiwa kwenye vyombo vya moto Bima ni lazima huyo sheihk wako ubwabwa hakuna kitu anajua bhana.
Wakiristo wengi washazoea kufanyiwa dhuluma. Wao wanaona sawa, ndio maana utakuta mfanyakazi anafanya kazi lkn kipato chake chote hakionekani na anakufa maskini kwa mambo kama hayaBima ya afya inaendeshwa kwa mfumo wa risk pooling, group la watu wanashare majanga yao kwa pamoja badala ya kulibeba mwenyewe.
▪︎sheikh anasema inabidi watu mkae mkubaliane, kwani kabla ya kujiunga si huwa mwanachama anapatiwa elimu. Utawezaje kukaa na watu zaid ya milioni mkakubaliana kwa pamoja?
Daah anyway ni ngumu sana kuielewa imani, ila kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha imani na ujinga
Waislamu wenzangu tusomeshe watoto tuache kulalamika ujinga kila dakika bila hata kutumia akili.Kwa hiari kwa lazima? Jee wewe mfumo huo unatenda haki?
Uislamu na ujinga vina unduguHivi leo ikiwa wafanyakazi watapitishiwa watoe maoni kuhusu vima afya watakubali waendeshwe kama hivi? Wakiristo sikilizeni hoja kwanza