Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Wakiristo wa hf wanajifanya wasomi kumbe 0 kabisa
Siupingi uislam, napinga mafundisho ya kipuuzi. Maana haya yakiwakuta watu wenye uelewa mdogo kama wewe, mtafanya dunia kuwa sehemu ya hatari sana. Sidhani waislamu wenye akili timamu watafata maagizo ya huyu.
 
Umefanya utafiti? Au unaongea tu? Kuna watu wanakatwa laki 4 hana mtoto hata mmoja na hjaumwa.
Ndio hata zaidi anachangia wanaoumwa
Siku akiumwa ugonjwa unahitaji milioni 30 ndipo ataelewa

Kufaidi hiyo bima basi aombe Mungu aumwe

Kama kuumwa ni kufaidi
 
1745747164566.png
 
Siupingi uislam, napinga mafundisho ya kipuuzi. Maana haya yakiwakuta watu wenye uelewa mdogo kama wewe, mtafanya dunia kuwa sehemu ya hatari sana. Sidhani waislamu wenye akili timamu watafata maagizo ya huyu.
Muislam mwenye akili timamu kama wewe mcheza kamari?
 
Maoni ya Wanazuoni Wengi wa Kiislamu

Wanazuoni wengi wa Kiislamu wanasema bima ya kawaida (commercial insurance) inaweza kuwa haramu kwa sababu:

Kuna gharar (kutokuwa na uhakika) – haijulikani mtu atapata faida au hasara.

Kuna riba – faida inayopatikana isivyo halali.

WAKIRISTO MKIONA HOJA YA SHEIKH MSIJE KWA CHUKI , SIKU YA SIKU MWISHO WA SIKU MNAKUJA KUKUBALI KWA MLANGO WA NYUMA

Kuna kamari (maisir) – mtu anaweza kulipa bila kupata chochote.
ila bangi,shisha na sigara ni poa tu. Zamani nilikuwa najiuliza waislamu wanakunywa pombe kwa kificho au wanakula kitimoto kwa kificho lakini sigara wanavuta hadharani kumbe dini inaruhusu. Bila serikali kuharamisha bangi aisee ingekuwa ni hatari.
 
Ndio hata zaidi anachangia wasioumwa
Siku akiumwa ugonjwa unahitaji milioni 30 ndipo ataelewa

Kufaidi hiyo bima basi aombe Mungu aumwe

Kama kuumwa ni kufaidi
Mwenyewe karidhika kufanya hivyo au kalazimishwa? Wafanyakazi wa umma wote wamelazimishwa.
 
ila bangi,shisha na sigara ni poa tu. Zamani nilikuwa najiuliza waislamu wanakunywa pombe kwa kificho au wanakula kitimoto kwa kificho lakini sigara wanavuta hadharani kumbe dini inaruhusu. Bila serikali kuharamisha bangi aisee ingekuwa ni hatari.
Wapo waislam wezi, wavuta bangi na wazinifu, lkn uislam unakataza
 
Wakiristo wao hawana dhambi kila kitu kwa sawa
Kwenda zako huko
Mwenyewe una dhambi hadi kwenye ugoko
Tatizo mna elimu ndogo kama akili ya inzi
Kumbe ndiyo maana maduka ya dawa za kienyeji yamezungukaa nyumba zenu za ibada
 
ila bangi,shisha na sigara ni poa tu. Zamani nilikuwa najiuliza waislamu wanakunywa pombe kwa kificho au wanakula kitimoto kwa kificho lakini sigara wanavuta hadharani kumbe dini inaruhusu. Bila serikali kuharamisha bangi aisee ingekuwa ni hatari.
Nenda mikoo yote ya Pwan ikiwemo Dar mtwara, lindi Tanga ,Pwani nk waislamu hawanywi pombe kwa kujificha hata kidogo

Na kitimoto mwezi wa Ramadhani biashara hudoda hadi wafungue
 
Kwenda zako huko
Mwenyewe una dhambi hadi kwenye ugoko
Tatizo mna elimu ndogo kama akili ya inzi
Kumbe ndiyo maana maduka ya dawa za kienyeji yamezungukaa nyumba zenu za ibada
Dawa za kienyeji mbona zitamika sana India kwa wakiristo wenzio. Wewe kumbe 0 brain
 
The scion of a prominent Maryland family who was top of his class at an elite private school before graduating from an Ivy League university, Luigi Mangione seemed to have everything going for him, according to friends.
They were left stunned by the 26-year-old's arrest for the murder of UnitedHealthcare's chief executive Brian Thompson, who was fatally shot outside of a hotel in New York City on 4 December. Mr Mangione denies that he murdered the father of two.
According to a law enforcement, Mr Mangione was allegedly motivated by resentment at what he called "parasitic" health insurance companies.
He had spent time in a surfing community in Hawaii, but left owing to debilitating back pain, say those who remember him. It is unclear, however, to what extent his own health troubles shaped his views of the medical industry.

Mr Mangione is currently being held without bail at a notorious jail in Brooklyn, also holding rapper Sean "Diddy" Combs. He is facing federal charges, as well as state charges in New York and Pennsylvania.
Federal prosecutors are pursuing the death penalty after charging him with multiple crimes, including murder and stalking.
US Attorney General Pam Bondi said the death penalty was necessary because he committed a "cold-blooded assassination that shocked America".
"After careful consideration, I have directed federal prosecutors to seek the death penalty in this case as we carry out President Trump's agenda to stop violent crime and Make America Safe Again," she continued.
Lawyers for Mr Mangione have called the move a "political stunt".
"Luigi is caught in a high stakes game of tug-of-war between state and federal prosecutors, except the trophy is a young man's life," said his lawyers, Karen Agnifilo and Avi Moskowitz.
In New York, Mr Mangione has been charged with 11 crimes, including murder and terrorism.
He also was charged in Pennsylvania with forgery, carrying firearms without a licence, tampering with records or identification, possessing instruments of crime and providing a false identification to police.
He was arrested five days after the attack, at a McDonald's in Altoona, Pennsylvania, and was allegedly in possession of a gun, bullets, multiple fake IDs and cash.
Mr Mangione also had a handwritten document that expressed "ill will" towards corporate America and included passages such as "frankly, these parasites had it coming", according to police.
Investigators say the words "deny", "defend" and "depose" were written on shell casings found at the scene of Mr Thompson's murder.
Law enforcement sources say this may be a reference to the "three Ds of insurance" - tactics used by companies to reject payment claims by patients.
Mr Mangione comes from a prominent family in the Baltimore area who are known for businesses including country clubs, nursing homes and a radio station according to local media.
 
Nenda mikoo yote ya Pwan ikiwemo Dar mtwara, lindi Tanga ,Pwani nk waislamu hawanywi pombe kwa kujificha hata kidogo

Na kitimoto mwezi wa Ramadhani biashara hudoda hadi wafungue
Kwa sababu wakiristo wamevamia huko, kabla ya kuhamia wakiristo mambo yalikuwa shwari
 
Back
Top Bottom