Tatizo kwenye hizi dini..
Nimegundua kuna dini fulani inajifanya imesoma sana kuzidi dini nyingine na wao ndio wanastahili uongozi wa nchi...
Lakini tukiangalia hii nchi yenyewe imekuwa kati ya nchi masikini duniani tokea tupate uhuru, hata majirani wanatuburuza...
Sasa hizo elimu gani wanazoongelea maana mpaka leo vyoo vya mashule vinajengwa na wafadhili wa nje.....