Kwenye Uislam, Bima ni Haram kama ilivyo kamari

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,703
Reaction score
39,180
Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K

Bima ni gambling tu, yaani pata potea,
Kwa tafsiri ya kiislam ni kamari maana unaweza pata usichostahiri

Mfano unaweza kuweka Bima laki 5 ukatibiwa ungonjwa wa milion 5

Au ukaweka Bima na usiumwe, Kwa hiyo ukawa umekuwa pesa zako bure.

Hivo ni vyema waislam kujiepusha na madhambi makubwa ya kamari Kwa jina la Bima
 
mkuu unataka watu wasipate tiba , aje kulaumiwa shetani.

uzi huu nadhani ulikuwepo mwaka jana kipindi cha kampni ya bima kwa wote.

bima hizi kama za afya ni makubaliano tunachanga atakaye umwa apate tiba.

mnapindisha maneno mnaongopea waumini
 
Quran imeelezea hayo mambo ya Bima?

Quran haijaelezea popote mambo ya Bima.
Hata hivyo Bima ni biashara za hivi karibuni.

Kwa jinsi zilivyo Bima nyingi hazifuati misingi ya Quran.
 
Samahani Kiongozi,
Naona Umeandika mada ambayo huna Elimu nayo ya kutosha hivyo nakushauri ujikite kwenye mada unazo zielewa vizuri, kama kukataza watu Kuiba, kupunja kwenye mizani, kupindisha sheria, Ushirikina, uasharati nk
Hizo vitu vya sharia acha wabobevu wa Sharia wavizungumzie...
 
Tofautisha kamari na Bima
 
Nipe tofauti ya kamari na bima
Zote ni pata potea
Wanauliwa pesa zao ni wengi
Bima ni dhulumat
Ukinufaika jua Kuna uliyemdhulumu
Na usiponufaika jua umepunwa
 
kwenye kutekeleza wanatekeleza wabobeu tu au kila mtu?

bima ya afya ni kapu la pamoja la kusaidia watu, sharia inayokataza watu kusaidiana ni ipi?
 
Nipe tofauti ya kamari na bima
Zote ni pata potea
Wanauliwa pesa zao ni wengi
Bima ni dhulumat
Ukinufaika jua Kuna uliyemdhulumu
Na usiponufaika jua umepunwa
mtaalamu unapotea mahali gani? bima inakuaje sawa na kamari?

kwamba unaenda kukata pale nhif bima ya mwaka , alafu unarudi nyumbani unashauku kubwa sana ya kuumwa ili uende hospitali ukatumie hela yako?
 
Maana yake ni kuvunja usichostahili
Kuwa na shauku kutokuwa nayo hiyo sio sababu
Hapo kilichopp ni kunufaika au kupunwa pesa zako
 
Kuna muda dini zina usanii sana.

Ujue hata kujiunga kifurushi ni Dhambi
Yaani yatakiwa ukiweka vocha iwe hiyo hiyo bila kujiunga kifurushi.

Ubaya sehem hizo dini zimeanzia Dini ni kama utamadui sio kama kwetu ni maisha
 
Maana yake ni kuvunja usichostahili
Kuwa na shauku kutokuwa nayo hiyo sio sababu
Hapo kilichopp ni kunufaika au kupunwa pesa zako
watu waliokubaliana tuchange hela mtu akiumwa atibiwe, nani anavuna asichostahili hapo ?
 
Back
Top Bottom