Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Hawa jamaa ukiwasikiliza kila kitu ni haramu, lkn sasa namna wanashiriki ndio balaa.

Kila technology anayotumia hata kuzungumza na kufikisha huu ujumbe ni haram kabisa.
Ndio maana unafanya kazi za serekali halafu unastaafu ukiwa maskini na msongo wa mawazo. Makato lukuki yanakuandama ukijumlisha bima bima bima. Bima hizi zinawanufaisha makumpuni kuliko wewe.
 
Nikiuliza kuwa..

"utakubaliana na mimi watu wengi wameshindwa kupata matibabu kwa kukosa bima za matibabu"

Nitakuwa sawa au nakosea?
 
Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima.

Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera

View attachment 3317374
Huu Sio uislamu Niliousoma na Kuujua Kwa Miaka mingi..
Sheilkh Muongo sana huyu 🤣🤣
 
Maoni ya Wanazuoni Wengi wa Kiislamu

Wanazuoni wengi wa Kiislamu wanasema bima ya kawaida (commercial insurance) inaweza kuwa haramu kwa sababu:

Kuna gharar (kutokuwa na uhakika) – haijulikani mtu atapata faida au hasara.

Kuna riba – faida inayopatikana isivyo halali.

WAKIRISTO MKIONA HOJA YA SHEIKH MSIJE KWA CHUKI , SIKU YA SIKU MWISHO WA SIKU MNAKUJA KUKUBALI KWA MLANGO WA NYUMA

Kuna kamari (maisir) – mtu anaweza kulipa bila kupata chochote.
Sheikh Kama Utakuwa tayar Biko Tayar kuingia Kwenye Mjadala Kuhusu Hili na Mara Nyingi hakuna Aya wala Hadithi ni Fat'wa za MASHEIKH
 
Kwani kigezo cha kuwa sheikh ni kipi wakuu?
 
Mmmm makubwa haya basi hata kujenga hospital mi haramu maana zimejenhwa Kwa pesa za watu wengine na wanaotibiwa wengine!
 
Wasiokuwa waislam wameandaliwa moto, unataka upate nini ? Bikra au moto?
Shetani kakudanganya walio andaliwa moto ni wasio watakatofu na walio andaliwa pepo ni watakatifu siyo waislamu
 
Ndiyo maana awa hukumu sana madhambi ya wengine ...yani hizi takataka ndiyo mungu aziingize peponi kweli huyo mungu si atakuwa kachanganyikiwa ...
Majini na uisilam ni kama samaki na maji
 
Wenzio wakiristo wanaojielewa wanasilimu. Ukifa mkiristo ujue unainngia motoni. Unajua?
Wenzio Waisilamu wenye akili na ubinadamu wanabatizwa. Muddy alisema hajui hata atafanywa nini kwa madhambi aliyofanya
 
Back
Top Bottom