Mwajiri ndie mlipa mshahara na mwamua mshahara uwe shilingi ngapi na makato yawe yapiMwenyewe karidhika kufanya hivyo au kalazimishwa? Wafanyakazi wa umma wote wamelazimishwa.
Hutaki acha kazi kawe imamu msikitini huko hutakutana na makato ya bima ya afya