1987SANAWA
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 391
- 479
Hatuwezi kuendelea hata siku moja Kwa mipango mibovu kama hii ya kununua magari ya gharama wakati serikali imeshindwa kutekeleza majukumu yake mengi ya msingi mf; kurekebisha Miundo mbinu ya miji mikubwa, km Arusha, Dar nk. Nchi nyingi kwasasa zinabana matumizi na Kutafuta namna ya kuongeza mapato lakini Tz, tunaenda enda kama tumekatwa vichwa.
Matumizi mengi ya serikali yapo kwenye magari ya gharama na kuyahudumia.
Matumizi mengi ya serikali yapo kwenye magari ya gharama na kuyahudumia.