ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,488
- 51,308
Zuga ya nini wakati mchanganuo upo? Kama wanataka kuzuga si wanaweza wasisome hiyo section wakaruka tuu kwani Utajua?Hayo mengine zuga tu mkuu,main chick hapo ni mandinga mapyaaaaa
Chukua vitabu vya Bajeti utaona magari ni kiasi gani, majengo ya Utawala kiasi gani,makazi ya Viongozi kiasi gani.Mbona Kila kitu Huwa kinawekwa wazi?
Wazuge Kwa sababu zipi za msingi? Gari ni kitendea kazi na Samia kayanunua kweli Kila taasisi ya Umma Kwa Sasa Haina shida sana za vitendea kazi kama Mwanzo