co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,415
- 2,143
Mtu aje kuwekeza sababu kaona Bango ? Huyo sio Muwekezaje bali kanjanja au Machinga..., Watu wanafanya due diligence za kufa mtu na wanawekeza kwa kuona / kuangalia stability ya mambo yao na sio kubadilika kila dakika.....
Ni more cost effective kuwa na Sera za kueleweka , infrastructure za maana na labor force yenye technical know how (wawekezaji watakuja tu) unaweza hata ukaweka tangazo kwenye mwezi kila kiumbe alione ila hali halisi field ndio inafanya watu waje au wasije (na kama hali mbaya bado wanakuja fahamu kwamba wanapewa favor ambayo mtoaji anaumia) as the saying goes kibaya chajitembeza.....
Umeandika kama msomi lakini kasome pia marketing and branding…Ndo ujue hata fb wanatumia kiasi gani kujitangaza though ni platform kubwa