"Begger has no choice" pokea hicho ulicho pewa hata kama hakina maana kwetu.Sio ndio hapo sasa, kuliko waweke tangazo la siku 30 la 2t, si bora watupe nusu ya hiyo hela tujenge viwanda 10 vya 100b@ vya kimkakati?
"Begger has no choice" pokea hicho ulicho pewa hata kama hakina maana kwetu.Sio ndio hapo sasa, kuliko waweke tangazo la siku 30 la 2t, si bora watupe nusu ya hiyo hela tujenge viwanda 10 vya 100b@ vya kimkakati?
Hawataki kutushirikisha wadau wa utalii ili tuwape mpango mkakati mzuri wa kuiuza nchi kiutalii.Kwani Tz haipati wa talii kwasbb hawajui kama kuna nchi inaitwa Tz au watakuja kwasbb ya Raisi wetu?......tatizo lenu mnalipwa ila hamuwezi kushawishi watu kwa hoja za mantiki.
Na kwa nini mtangazwe bure, hapo bado amelikoroga.........
Nonsense and stupidity! Kwamba Tanzania haijulikani mpaka ikatangazwe Dubai? Fikiria kwanza.
Tatizo ndio lipo hapo ! Watu wanataka wale keki peke yao !Hawataki kutushirikisha wadau wa utalii ili tuwape mpango mkakati mzuri wa kuiuza nchi kiutalii.
Yaani mtu mzima kabisa anaamini kuwa mtalii ama muwekezaji anaweza kuja Tanzania kwa sababu ya rais au kuona bendera asiyoijua ni ya nchi gani kwenye jengo refu zaidi duniani!!!!!
Kuna kitu wamegawa hawa. Ni kweli sio pesa. Ila kuna kitu cha thamani sana wamegawa hawa mandondocha.Yap huenda ni kweli hatujalipa....
Ingawa sijui na wao ni kipi / vipi tutawapa favor na wasilipe....
As the saying goes no free lunch..., mwisho wa siku ndio tutajua kama ni Win/Win au kama Kawaida yetu Win kwa Wachache (10%) na Loose kwa Taifa na vizazi vijavyo...
Tunawafuatilia kwa karibu, wako salama.Kawadanganye watoto na mafala
Pumbavu ni hawa wanaomini sasa hatupigwikuna mtu Tanzania aliwajaza watanzania upumbavu kiasi kwamba wao wanahisi kila kitu wanapigwa au hela zinatumika vibaya ila faida zake hilo bango hawajui ni watu wangapi watashawishika kutaka kujua hii nchi na kuja kuwekeza au kutalii na hapo ajira zitakuja na serikali itapata kodi ambayo itaendesha nchi
There is nothing like a free lunch,hizi story kawapigieni watu wa mwanakwerekwe,fuoni,au paje,Lindi,mtambaswala ambao hawajaenda shule,hakuna Cha bule,Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..
Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.
Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.
Pia soma
- Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania
- Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?
===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.
=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,
=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL
=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,
=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,
Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?
Hoja yangu ni nini hapa,
Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,
Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,
Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )
Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,
There is no free lunch.......Wale wanazo pesa nyingi sana za kuchezea ! Wanaweza wakakutangaza hata mwezi mzima na wala wasitake chochote kutoka kwako, ila pia sio vibaya kuwa waangalifu kwenye kila kitu kinachohusu Nchi !!
🖕Hakuna muwekezaji serious atakuja kwenye nchi ambayo sheria za nchi zinafuata utashi wa rais.
Mlipoaminishwa tumelipia mlibwabwaja… sasa mmeambiwa hatujalipia mnalopolopoBepali hanaga cha bure hata siku moja, hapo ni nyie kujiongeza kwamba wanataka kuchukua kitu gani kutoka hapa Tz
Umewekeza wapi?Hakuna muwekezaji serious atakuja kwenye nchi ambayo sheria za nchi zinafuata utashi wa rais.
Hakuna cha Bure duniani.Kuna mutu amelipia in kindNgumu sana kuwaamini watendaji wa serikali ya CCM
Umewekeza wapi?
Yaani kama tulikuwa tunapigwa awamu iliyopita ndo ihalalishe upigaji awamu hii? Uzwazwa huo wabaki nao wanaoweka siasa mbovu mbele lakini Sisi Wenye akili hatuwezi kuamini Wezi waliookoka mpaka watuthibitishie Kwa matendo. Mpaka Sasa wameshindwa kututhibitishia kwamba wameacha wizi Kwa hili la Mchongo wa Burj Khalifa.