Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

Mtu aje kuwekeza sababu kaona Bango ? Huyo sio Muwekezaje bali kanjanja au Machinga..., Watu wanafanya due diligence za kufa mtu na wanawekeza kwa kuona / kuangalia stability ya mambo yao na sio kubadilika kila dakika.....

Ni more cost effective kuwa na Sera za kueleweka , infrastructure za maana na labor force yenye technical know how (wawekezaji watakuja tu) unaweza hata ukaweka tangazo kwenye mwezi kila kiumbe alione ila hali halisi field ndio inafanya watu waje au wasije (na kama hali mbaya bado wanakuja fahamu kwamba wanapewa favor ambayo mtoaji anaumia) as the saying goes kibaya chajitembeza.....

Umeandika kama msomi lakini kasome pia marketing and branding…Ndo ujue hata fb wanatumia kiasi gani kujitangaza though ni platform kubwa
 
kuna mtu Tanzania aliwajaza watanzania upumbavu kiasi kwamba wao wanahisi kila kitu wanapigwa au hela zinatumika vibaya ila faida zake hilo bango hawajui ni watu wangapi watashawishika kutaka kujua hii nchi na kuja kuwekeza au kutalii na hapo ajira zitakuja na serikali itapata kodi ambayo itaendesha nchi

Hakuna muwekezaji serious atakuja kwenye nchi ambayo sheria za nchi zinafuata utashi wa rais.
 
Umeandika kama msomi lakini kasome pia marketing and branding…Ndo ujue hata fb wanatumia kiasi gani kujitangaza though ni platform kubwa
Unajua kitu kinaitwa Return on Investment ? Baada ya hapo kasome market segmentation na Target Marketing...

Inategemea unafanya nini na wapi ili kupata watu wa aina gani..., kila Marketing Campaign inaangalia yote hayo..., kwa kuweka Bendera ya Tanzania kwa dakika tatu huenda ikaleta viral marketing na publicity watu kuiongelea ila ukweli unabaki kwamba muwekezaji wa kweli anayejua kazi yake hata usipotangaza anajua kunusa opportunity na atakuja...., thus cha muhimu zaidi ni kuwa na infrastructure za uhakika na security na uhakika kwa muwekezaji (predictability) hapo watakuja kwa kugombania kuja....,

Kama hakuna uhakika alafu ukaona watu wanakuja au unawabembeleza sana kuja kwa kuwapa vijizawadi jua kwamba long term unapigwa....
 
So kwa ushauri wako ni kwamba wasijitangaze? Kisa unasema hakuna imfrastructure? Nyie ni wasomi wa sayari gani Mbona mnafikiri as if hamna mlichosoma uko vyuoni kwenu au ni kwamba kupinga tu
 
Mama sasa anatakala kumleta mwarabu aitawale tanganyikia na Tanzania ndivyo alivyokuwa akiambiwa na maalim seif miaka ile
 
So kwa ushauri wako ni kwamba wasijitangaze? Kisa unasema hakuna imfrastructure? Nyie ni wasomi wa sayari gani Mbona mnafikiri as if hamna mlichosoma uko vyuoni kwenu au ni kwamba kupinga tu
Rudia kusoma nilichoandika huenda hapa tutakuwa tunazunguka bila mwisho..., Kila Tangazo lina targeted customers / audience..., Wewe umesema watu hawajui through hilo Tangazo tutapata wawekezaji kiasi gani. Nikakujibu Muwekezaji worth his salt Tangazo la Bango halitamleta atafanya due diligence nyingine na za maana zaidi..., hapo labda Walengwa wawe watalii n.k. Ni kama vile huwezi kwenda kutangaza Gospel msikitini au Kilevi kwa wanywa juice au walokole....

Kwahio haya majibu yote ni ya Statement yako kwamba through hio Bendera ya dakika tatu tutapata wawekezaji wa kutosha....,

Kwahio unless tunavutia utalii n.k. uwekezaji wa kweli wa viwanda n.k. utafanikiwa zaidi kuwekeza kwanza kwenye Tanesco kabla ya kwenye banners n.k. Matangazo yafanyike ila targeted marketing
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom