SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
akawabwekesha na nyie mkawa mnabweka, hogh hogh ..
Sijawahi kwenda Fiesta tangu mwaka 2009. Nilienda mwaka huo nikaona ni upuuzi tu.
akawabwekesha na nyie mkawa mnabweka, hogh hogh ..
Huu uhuni wa Kikwete kuingilia mambo ya kibiashara ya makampuni binafsi kwa sababu Kuna washkaji zake ndio yanasababisha watu wachukie utawala wake. This is pure business, subjectivity haikuwa na nafasi kabisa. Jamaa wanafanya huu uhuni kwa sababu za ushikaji na JK, siku JK anatoka Ikulu November 2015 hii redio itafungwa kabisa na kuchinjiwa baharini. Wameshindwa kupambana na himaya ya Mengi wanaonea wachanga, not fair bana hii radio ya wafu imewatenda wengi Sana. Tena saizi wanashirikiana na Shigongo kutaka hata kuvunja ndoa..
Watanzania hawajitambui. Mitaani wanapenda kitorondo halafu sijui nini
Acha kulaumu Watanzania kwa kuto mshangilia ni uamuzi wao kufanya watakacho na usihusishe na unafiki wala kutafta visingizio wao ni timamu mbona clouds walipo kuwa wana mbeba hamkuongea diamond alipo jikwaa ajirekebisha hao ni mashabiki ndo wanaompanfisha mtu msitafte mchawi either kuna vtu afanyajo mashabiki wameona havi make sense ikiwemo kauli zake either beaf bado ana nafasi ya kufika.mbali aangalie tu sehemu ambayo hakwenda sawa
Mimi si muumini wa nyimbo za washika suruwali mbele. na ninawachukia sana lakini hayu jamaa ndiye namchukia zaidi hana sifa ya kuigwa na mtu yeyote.mhuni, maraya,kiburi,majivuno,uchezaji usio na sitaha kiujumla hafai ktk jamii ya watu kama sisi rabda wapumbavu tu. Eti anailetea sifa
Tanzania we ----- kweli.
...hao clauds si ndo waandaaji,mbona haiingii akilini...
Watanzania hatutaki tuone kijana mwenzetu kafanikiwa. Tuna wivu wa kuku dume. Wivu ndo wawasumbua wanaomzomea. Wanataka wote tubanane huku chini kwenye umaskini. Si mshabiki wake ila sioni haja ya kumchukia.
Watu wanasema ana dharau,...hawasemi dharau gani hasa ....huu ni mwendelezo wa akili za kipoyoyo tulizozioea kuziona kwetu uswahilini....i.e mtu akifanikiwa unamuundia zengwee halafu unashindwa kulitetea.
Anyway_hata mm namkubali Kiba kuliko domo ila kwa hili mimi siko upsnde huo
boss nipachike kwenye kampuni yako basi na mimi
Da wanajamvi huyu mdogo wetu amewafanya nini watanzania hasa vijana wenzake,naona ameingia kutumbuiza watu wanamzomea na kupiga kelele na kuita Kiba,Kiba,Kiba,japo alijaribu kupiga nyimbo aliemshirikisha Ney wa mitego ndo angalau kidogo watu walikua wakimshangilia Ney,sasa pana nini wanajamvi
Hata wakimtemea mate haisaidii,diamond yuko juu.
Hapo ndipo mnapokosea kulinganisha kila kitu na First World. Mtaanzisha vyenu lini ili nao waige!! Yaani kila kitu mnatoa reference ya 1st wld, huu ni utumwa. Pia tuangalie mazingira yao ni tofauti na ya kwetu. Kwao huwezi kukuta raia anatumia kombati kufanya ujambazi. Sasa huku kwetu eti turuhusu wavae. Halafu nina uhakika wengi mnaopinga humu ikitokea Upate madaraka kwenye System ya nchi Huwezi kukubali kuruhusu. Tena ndio mtakuwa wakali kuliko.Mawazo kama haya ni ya watu wa Tanzania tu na kupeana vyeo vya umwinyi. Kuvaa sare kuna shida gani? First world watu wanatinga kama kawa na hakuna querry, bado sana nchi yetu
Aisee kwa hiyo Clouds waliandaa kikosi tingatinga au ni kiba mwenyewe. Ninachojua clouds hawataki msanii afanikiwe kivyake wanataka wawanyonye tu. Sasa wakitoka kama Platnumz na Jide wai wanaunda genge la kuwa down size. Sasa wameshindwa. Duamond ataendelea yuko juu tu hata wamzomee kivipi. Daimond usife moyo. Mafirauni hayo hayana lolote.
Heaven on Earth likes thisTatizo la Diamond ni poor managment maskini,watu wanaomsaidia sio sahihi.hawamuelekezi vitu sahihi vya kufanya,kwa elimu yake na mazingira diamond aliyokulia na kwa stage aliyofikia,he urgently needs someone very smart kumsaidia otherwise we r going to loose anothergood boy,ata huyo alikiba alidrop kwa sababu ya poor mamagment,
wabongo atupendi shule ila shule inamaama yake tena kubwa,this is now happening kwa huyu dogo.hawa wakina babu sijui tale wanampoteza tu huyudogo,dogo kwenye media anaongea ongea tu,sikuhizi hata show zingine anazikacha, hapo unategemea nini kutoka kwa mashabiki wako.?waendelee kukupenda.?haya mambo sijui alikuba kakodisha watu wa kumzomea,ni kutafuta urahisi na excuses tu ila diamond kwa manemo yake na matendo,anapoteza mashabiki wake mwenyewe.otherwise hapa wa kumlamu ni meneja wake uchwara..haya mambo hata kwenye soka yapo,kamchezaji kakisha andikwa marambili mara tatu kwenye tugazeti uchwara ambatwa atabaadhi ya mikoa atufiki,utamkuta anaviimba.. wanatembea kama wamamajipu kwenye makwapa,mwsho wa siku wanazeekea hapahapa wakiugua namba za misaada zinapita wasaidiwe,angalia kama mrisho ngassa ndo hivo tena yuko jion,afu hapahapa bongo kwa ujingaujinga wake tu na kutojitambua,nadhani na poor managment ilichangia kumuua huyu dogo.poleni sana watanzania ila mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe kwa hili la dogo dimond tusitafute mchawi.
mbona utatudharau sana we bwana mdogo? Watanzania hatujitambui.. mbona unatutukana matusi makubwa hivi? haki ya Mungu ulaniwe wewe pamoja na familia yako..na usirudie kutukana WATANZANIA,uwe unatukana WANYARWANDA WENZAKO
Kauli, matendo, mwenendo, mahusiano n.k!!!!
Hivi anaishi maisha ya Kitanzania, Kiafrika au ya wapi??!!!
Ukijiweka wazi sana kwa maisha yetu ya Kibongo tegemea mengi kukuzunguka na kuzungumzwa juu yako, mengine mazuri mangine mabaya, huwezi kupendwa na wote wala kuchukiwa na wote ila kuna sehemu utakutana na wanaokupenda tupu na utafurahi ila ikitokea vinginevyo pia inahitaji upembuzi kubaini haya!!!!
Akae na washauri wa rika na mitazamo tofauti ili akae kwenye nafasi yake halisi!!!
Kuzomewa ni ujumbe kwake,pole yake ila analo la kujifunza!!