Pampula jr
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 606
- 193
ameshakalia kiti chake domo sasa hivi yupo siti ya nyumaSifa za ally kiba zitadumu kwa cku mbili au tatu maana hana kitu kinachomfanya tumsikie kila cku ila Dai utamskia tuu hata kwa kupitia Wema
ameshakalia kiti chake domo sasa hivi yupo siti ya nyumaSifa za ally kiba zitadumu kwa cku mbili au tatu maana hana kitu kinachomfanya tumsikie kila cku ila Dai utamskia tuu hata kwa kupitia Wema
kwani kiba na yeye anabebwa kama dimondAnabebwa ila habebeki
Zama za Diamond zinaisha sasa, sitaki kuamini Yale maelfu ya watu waliozomea eti wamekodishwa!! Ni ujinga kudhani hivyo
...................................... Fitina ya clouds leo ilikua kwa davido na times fm. Jaman leo ndo nimeamin ma-don wa mjini wanajua fitina...............................................
Moja ya sifa kuu ya mashabiki wa huyo ni kundi flan la watu kama mahousigali,walioko kwenye balehe au kuvunja ungo na kama mtu ni mzima basi ni wale kula kulala,hawana muda wa kufikiria maisha.
Kwa wenye kujitambua/akili hawapendi mtu mwenye kujikweza kwa mambo ya kijinga.Leo habari zako za ngono zinakuwa ni habari za kitaifa kana kwamba ni yeye tu mwenye mapumbu.
Siwezi kuwa na wivu kwa mtu yeyote, kila mtu amezaliwa na destiny yake. Kitendo cha kuanza kuwaza kuwa mtu anaonewa wivu ni udhaifu mkubwa sana.Unajua hela ndefu wewe? Juzi Nimelamba contract ya mil 900 kwenye kampuni yangu nije nimuonee wivu mtu asiyejua kuandika jina lake vizuri?Acha ujinga
Jaslaws at his his/her best!Tatizo la Diamond ni poor managment maskini,watu wanaomsaidia sio sahihi.hawamuelekezi vitu sahihi vya kufanya,kwa elimu yake na mazingira diamond aliyokulia na kwa stage aliyofikia,he urgently needs someone very smart kumsaidia otherwise we r going to loose anothergood boy,ata huyo alikiba alidrop kwa sababu ya poor mamagment,
wabongo atupendi shule ila shule inamaama yake tena kubwa,this is now happening kwa huyu dogo.hawa wakina babu sijui tale wanampoteza tu huyudogo,dogo kwenye media anaongea ongea tu,sikuhizi hata show zingine anazikacha, hapo unategemea nini kutoka kwa mashabiki wako.?waendelee kukupenda.?haya mambo sijui alikuba kakodisha watu wa kumzomea,ni kutafuta urahisi na excuses tu ila diamond kwa manemo yake na matendo,anapoteza mashabiki wake mwenyewe.otherwise hapa wa kumlamu ni meneja wake uchwara..haya mambo hata kwenye soka yapo,kamchezaji kakisha andikwa marambili mara tatu kwenye tugazeti uchwara ambatwa atabaadhi ya mikoa atufiki,utamkuta anaviimba.. wanatembea kama wamamajipu kwenye makwapa,mwsho wa siku wanazeekea hapahapa wakiugua namba za misaada zinapita wasaidiwe,angalia kama mrisho ngassa ndo hivo tena yuko jion,afu hapahapa bongo kwa ujingaujinga wake tu na kutojitambua,nadhani na poor managment ilichangia kumuua huyu dogo.poleni sana watanzania ila mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe kwa hili la dogo dimond tusitafute mchawi.
Kwa kweli leo ni aibu tupu
hivi kweli hakuna watu behind haya ya leo kwa diamond maana, hata music wake na davido ilibidi warudie maana imekuwa mbaya na mgeni Davido ameona kituko leo
Diamond usiwe na wasi you are the number one
kwa kweli lazima clouds watuambie wamepanga nini leo na mic kama vile walikuwa wanazima watu wasisikike wakirudia
shame shame watanzania kuonea wivu wanaofanya bidii kuendelea
ila labda kiba alileta watu na mabasi wamzomee hii sio kawaida kabisa, as amekosea nini wananchi hadi azomewe na ndie anayepeperusha nchi yetu now na kidaidi ya wote huko nje. imagine mbele ya TI na Davido.
Sasa inatakiwa Diamond aachane na hizi level za fiesta wamekudharirisha leo clouds fm na wapambe wao. as wamempa promo kiba makusudi na ma king or what ili wamdharirishe Diamond shame on them
******
UPDATE:
WAMEMTENDA DIAMOND NA KUMZIMIA MIC, NOW MCHEZO UMENOGA T.I KAWASHUSHUA LIVE KUWA WA FIX SOUND
KATOKA STEJINI, JAMANI MUNGU ANAJUA KUJIBU WATU WABAYA. KASEMA ANARUDI IN 30 SECONDS NOW NI MADAKIKA MENGI OYEEEEEE MUNGU WA DIAMOND HALALI
EEH NA WA TIMES FM
OYEEE TO DIAMOND WETU
mkuu labda ni usingizi ndio maana unaandika hivi au labda mi ndo nausingizi ndo maana nasoma hivi.. Nway ntasoma tena kukicha labda ntaelewa.. Asante sana MzuriWewe..
Diamond ni jembe ktk muziki huu kizazi kipya. Na ninavyomjua huyu jamaa atatoa kitu kingine kikali muda si mrefu kuwanyong'oshe wote waliomzomea. Jamaa nyimbo zake zinaburudisha watu wa rika zote, mashabiki wake na hata wasio mashabiki wake!
Wabongo sisi ni wanafki sana, tena sana.
Hii dhambi tuikemee.
Clouds wamekodisha wahuni wa kumzomea Diamond na kumshangilia Kiba