Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Acheni wivu mtoto wa mbagala kasota kauza mitaani hadi bichi akitembea chini ya jua leo mnamwita ana dharau....

acheni wivuuuuuuuuuuuuuuuuu kafika alipo kwa yeye na sio wewe

sasa nani aache wivu...sisi tunaokoment hapa au hao waliozomewa?
 
Sasa wanamzomea ili iweje? Sehemu ya kuimba Diamond wanaita Kiba ili iweje?? Wee ndo wale wale, na wewe hoja yako ya msingi ni ipi? Kama ipo itetee tuone. Hoja yangu iwe ya msingi au sio ya msingi, watanzania (waliozomea) wana wivu kuwa Diamond kafanikiwa na kamfunika kijana wa kitaa au mchezaji mwenzao wa ndondo. Sasa na wewe Endelea na wivu wako, mwenzio kazomewa ila kapiga hela nyingine ndefu.

naona naww una kawivu flan tena cha kike, sasa kama kiba kashangiliwa ww inakuuma nn? na kama diamond kazomewa unapata taab ta nn kumsafisha?? M nkajua ww ndo umezomewa ndio maana inakuuma, upumbavu wa diamond ndo unamponza na kujiona yy ndo anajua. Amesahau kua alikua underground na watanzania ndo walimpa support akafika alipo ila yy kaanza kudharau wenzake, malipo n hapa hapa
 
Siwezi kuwa na wivu kwa mtu yeyote, kila mtu amezaliwa na destiny yake. Kitendo cha kuanza kuwaza kuwa mtu anaonewa wivu ni udhaifu mkubwa sana.Unajua hela ndefu wewe? Juzi Nimelamba contract ya mil 900 kwenye kampuni yangu nije nimuonee wivu mtu asiyejua kuandika jina lake vizuri?Acha ujinga

boss nipachike kwenye kampuni yako basi na mimi
 
Watanzania hatutaki tuone kijana mwenzetu kafanikiwa. Tuna wivu wa kuku dume. Wivu ndo wawasumbua wanaomzomea. Wanataka wote tubanane huku chini kwenye umaskini. Si mshabiki wake ila sioni haja ya kumchukia.

Ni muhimu sana kuwajali mashabiki wako.Ukoleta kiburi na madharau kwa wapenzi wanaojitambua ndo matokeo yake kama hayo ya kuzomewa.
 
Acheni wivu mtoto wa mbagala kasota kauza mitaani hadi bichi akitembea chini ya jua leo mnamwita ana dharau....

acheni wivuuuuuuuuuuuuuuuuu kafika alipo kwa yeye na sio wewe

Waliompandisha ndo wanamshushua,hataki kushushuliwa abaki chumbani kwake aone kama anaweza panda bila mashabiki.
 
Aisee kwa hiyo Clouds waliandaa kikosi tingatinga au ni kiba mwenyewe. Ninachojua clouds hawataki msanii afanikiwe kivyake wanataka wawanyonye tu. Sasa wakitoka kama Platnumz na Jide wai wanaunda genge la kuwa down size. Sasa wameshindwa. Duamond ataendelea yuko juu tu hata wamzomee kivipi. Daimond usife moyo. Mafirauni hayo hayana lolote.
 
Sasa wanamzomea ili iweje? Sehemu ya kuimba Diamond wanaita Kiba ili iweje?? Wee ndo wale wale, na wewe hoja yako ya msingi ni ipi? Kama ipo itetee tuone. Hoja yangu iwe ya msingi au sio ya msingi, watanzania (waliozomea) wana wivu kuwa Diamond kafanikiwa na kamfunika kijana wa kitaa au mchezaji mwenzao wa ndondo. Sasa na wewe Endelea na wivu wako, mwenzio kazomewa ila kapiga hela nyingine ndefu.

Wana wivu hela ya kuingia kule umewalipia wewe mpaka uwachagulie mtu wa kumshangilia na yupi wa kumzomea kama vipi ungeenda we kumshangilia basi
 
kweli ilikuwa hatari mvuta bangi wa atlanta kaamua kuporomosha matusi kama kameza kamusi ya matusi: "bad bitches make some noise" midume inaitikia oyooooooooo yani full vituko....achilia mbali hizo ---- na mazafanta kama ndio wimbo wa taifa....jamaaa anatukana acha kabisa
 
Kazi ipo!!!
Jaslaws umenena sana mkuu, apate washauri wenye akili timamu na akubali kushauriwa atafika mbali zaid!!!!
 
Last edited by a moderator:
RIP Kanumba ,ni ww pekee ambaye hukurudi nyuma pamoja nakuzomewa eti ulichemka ENGLISH Big brother.
Kuwa msanii bongo ni kazi sana diamond piga kazi achana na hilo la jana angalia mbele
Kiba sauti nzr na mshairi mazuri ila kaza bt usitumie bif hii kurudi piga masong ya ukweli na video nzr...
USIOMBE KUWA MSANII UTATESEKA SANA
ILI UWE KIOO CHA JAMII UVUMILIE KUTUKANWA
 
Watanzania hatutaki tuone kijana mwenzetu kafanikiwa. Tuna wivu wa kuku dume. Wivu ndo wawasumbua wanaomzomea. Wanataka wote tubanane huku chini kwenye umaskini. Si mshabiki wake ila sioni haja ya kumchukia.

sio wivu anadharau sana wanaekutana nae maeneo fulan wanamjua ana kejeli sana
 
Nakumbuka miaka mitano iliyopita aliyekuwa
nguli wa filamu Nchini Tanzania marehemu
""Steven Kanumba"" alienda kwenye jumba la
Big Brother....
amini usiamini bila sababu yyte ya maana
watanzania ndo walikuwa wa kwanza kuanza
kumsema kuwa hajui kuvaa, nani alimchagua ,
hajui kiingereza mpaka kufikia kumuigiza!!!
Walisahau hata watu maruufu kama Messi na
wengine wengi hawajui kuongea kabisa lugha
hiyo..
Baada ya kifo chake watanzania hawahawa
wakaanza kusema alikuwa nguli
aliyetuwakilisha vizuri nje ya nchi na kulia
sana!!!kumbe wakati akiwa hai tulikuwa
tunamshusha chini..
Miaka mitano baadae Tanzania imempata mtu
anayeiwakilisha vizuri nje ya mipaka na
kuitangaza vizuri nchi yake..
Pasipokuwa na sababu za msingi (chuki binafsi
tu)anapangiwa njama za kuzomewa na
kuabishwa katika ardhi ya nchi yake ambayo
kwa namna moja au nyingine kuna watu
wameifahamu sababu yake!! Ukiuliza sababu za
wengi wao kumchukia ni mafanikio yake lakini
hata kama humpendi mtu hivi ndo hadi
umzomee kwa kiasi kile !!!
leo na kesho naye huyu akitoka utaskia
hawahawa waliokuwa wanamzomea wanaanza
kusema jamaa alikuwa anatuwakilisha vizuri
sana , ametutangaza sana kimataifa!! lakini
Watanzania wenzake ndio vinara wa
kumuangusha..
Si lazima kila mtu ampende Diamond ila
kutumia nguvu kubwa sana kumuangusha mtu
ni ishara ya uwoga na Roho ya kimaskini...
Nimeamini ""maisha bila unafki hayaendi""

Safi sana leo umerudi na adabu maana sikunyingine huwa unaandika ka unasuguliwa na huyo domo...hongera kwa kuandika kwa heshima bila kumponda kiba....sasa ni hivi mtaarifu domo kama kuna siku aliharibu ni siku aliomchokoza kiba.hapo alitifua mambo..mwambie kua juu ni sawa ila asisahau waliochini wanaweza mshusha...aache majigambo..
Wasalam
 
Acheni wivu mtoto wa mbagala kasota kauza mitaani hadi bichi akitembea chini ya jua leo mnamwita ana dharau....

acheni wivuuuuuuuuuuuuuuuuu kafika alipo kwa yeye na sio wewe

mumeo anadharau hakuna anaemuonea wivu
 
Anazomewa sababu ya kiburi,kama ni mafanikio basi Mengi na Bakhresa wangekua wanazomewa
 
el nino@dinazeard etal niambieni jamani kibaa naskia kazomewa hatarri
 
Last edited by a moderator:
Mi nazidi kusema na ntalisimamia ili mpaka mwisho Diamond ajui muziki last time kumuona ilikua show zake za njaa njaa kwenye concert za shuleni. Huyo diamond hamuwezi Ali Kiba ata chembe yaani Ali ni msanii aliekamilika ambae ahitaji support ya watu wa Bamaga na mlalakua Darajani Kawe Kwani hao watu ndio uharibu muziki wa bongo. Ali Kiba very talented viva.
 
kweli ilikuwa hatari mvuta bangi wa atlanta kaamua kuporomosha matusi kama kameza kamusi ya matusi: "bad bitches make some noise" midume inaitikia oyooooooooo yani full vituko....achilia mbali hizo ---- na mazafanta kama ndio wimbo wa taifa....jamaaa anatukana acha kabisa
Yego Mnyabwilo na wewe ulihudhuria?.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom