King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,338
- 88,509
Ngoma ikivuma sana mwisho itapasuka yule yule aliyekupandisha ndio atakayekushusha.
Ngoma ikivuma sana mwisho itapasuka yule yule aliyekupandisha ndio atakayekushusha.
Eeh wivu wa diamond awr na kiba iweje
Eeh kiba kamwe hatamfukia akivyo paa diamobd na,kupeperusha bendera yetu. He had is time kujarivu hayo na imeshasepa.
Kuimba sio kyimba tu na akiki ya business lazima iwrpi
Ok sema maneni gani alisema diamond? Interview? Weka link tusikulize
Watanzania hatutaki tuone kijana mwenzetu kafanikiwa. Tuna wivu wa kuku dume. Wivu ndo wawasumbua wanaomzomea. Wanataka wote tubanane huku chini kwenye umaskini. Si mshabiki wake ila sioni haja ya kumchukia.
Asingeenda kabisa leaders ndio tungesema kawakomoa,ila kaenda na kaimba nyimbo tatu bado unasema kawakomoa? Nadhani utakuwa unatania.Pamoja ni kupewa promo lakini Diamond ndio kiboko yao, Kawakomoa Clouds leo
Clouds wamekodisha wahuni wa kumzomea Diamond na kumshangilia Kiba
Njia pekee ya kumsaidia diamond kwa lililotokea ni kumwambia tabia chafu ya dharau alonayo, na kumuonya aache mara moja na sio kusingizia watu wengine. Waliomzomea ni watu waliotoka kwao, wakalipa kiingilio, wamesimama muda mrefu, huo mchezo wa clouds unatoka wapi?
Its true inabidi ajipange
Kauli hii ya diamond ina maana kubwa sanakuna yoyote anaefaham chochote atujuze .sababu sio kauli ya kawaida kuna jambo linaendelea kwa wale wapambe wa karibu tufahamisheni
Unajua me ndo natoka leaders mida hii. Nikiangalia coment za watu humu naona zimekaa kishabiki zaidi. Wala hakuna mchezo wowote ulofanyanyika ni uongo mtupu. Mfano mimi na wadau wengine tulikua mbele kabisa na baadhi tulimshangilia Diamond ila majirani zangu wengne wakamshangilia Kiba.
Kila msanii kaingia na mbwembwe zake. Kiba kaja kama mfalme,diamond kaja kama mwanajeshi na wengineo kila mmoja alikua anakuja na mbwembwe zake.
Sema kitu nilichokigundua kwenye tamasha si kwamba baadhi ya watu hawampendi Diamond kwasababu analinga,hapana.
Watu kutokumpenda Diamond ni kama utamaduni wa watanzania kutokuwapenda watu wenye mafanikio. Tuna kasumba niseme ni kama Nyerere katulithisha umasikini wa mawazo wa kuamini kwenye unyonge na umasikini kwa sera zake za ujamaa.
Hata ali kiba akiwa na mafanikio kama ya Diamond watu watamchukia bure kwa kusema analinga. Wabongo tunapendana tukiwa tunaonana hali zetu za kimaisha zinafanana ila akitokea wa kupata akapata basi ujue wale wasio na kitu watamchukia. Mifano ni mingi hata humu jf watu wa namna hiyo wamejaa kibao (ma-haters).
Hivyo vingine vya kusema clouds wamemuujumu ni upuuzi na utoto kuwapelekea lawama watu wasiohusika. Fitina ya clouds leo ilikua kwa davido na times fm. Jaman leo ndo nimeamin ma-don wa mjini wanajua fitina.
Otherwise fiesta imependeza vibaya mno. Leaders limejaa hadi likatapika. Ni sheedah.