Chakulagani
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 271
- 51
Arola,Good Analysis!!
Watanzania hatutaki tuone kijana mwenzetu kafanikiwa. Tuna wivu wa kuku dume. Wivu ndo wawasumbua wanaomzomea. Wanataka wote tubanane huku chini kwenye umaskini. Si mshabiki wake ila sioni haja ya kumchukia.
What goes around comes around...mimi ni mmoja wa wanaotamani huyu dogo afulie..sijui kwanini tu...bila shaka nitakuwa na roho mbaya tu...but to be honest,huyu kijana ana dharau sana siku hizi,hajui waliompandisha wanaweza kumshusha vilevile!
tatizo la dimond ni kauli yake ya kusema yupo tayari kumsaidia ali kiba sasa hapo mashabiki ndio walikua wanaonyesha kua kiba si wakusaidiwaKwa kweli leo ni aibu tupu
hivi kweli hakuna watu behind haya ya leo kwa diamond maana, hata music wake na davido ilibidi warudie maana imekuwa mbaya na mgeni Davido ameona kituko leo
Diamond usiwe na wasi you are the number one
kwa kweli lazima clouds watuambie wamepanga nini leo na mic kama vile walikuwa wanazima watu wasisikike wakirudia
shame shame watanzania kuonea wivu wanaofanya bidii kuendelea
ila labda kiba alileta watu na mabasi wamzomee hii sio kawaida kabisa, as amekosea nini wananchi hadi azomewe na ndie anayepeperusha nchi yetu now na kidaidi ya wote huko nje. imagine mbele ya TI na Davido.
Sasa inatakiwa Diamond aachane na hizi level za fiesta wamekudharirisha leo clouds fm na wapambe wao. as wamempa promo kiba makusudi na ma king or what ili wamdharirishe Diamond shame on them
******
UPDATE:
WAMEMTENDA DIAMOND NA KUMZIMIA MIC, NOW MCHEZO UMENOGA T.I KAWASHUSHUA LIVE KUWA WA FIX SOUND
KATOKA STEJINI, JAMANI MUNGU ANAJUA KUJIBU WATU WABAYA. KASEMA ANARUDI IN 30 SECONDS NOW NI MADAKIKA MENGI OYEEEEEE MUNGU WA DIAMOND HALALI
EEH NA WA TIMES FM
OYEEE TO DIAMOND WETU
Kama Domo anavyofikiri kwamba kiba kakodisha watu kwanini na yeye asikodishe watu wa kuja kumshangilia? Mbona alikodisha costa mbili kwenda kumzomea Bob Junior? Karma is a bi.tch what goes around comes around tutaheshimiana tu,amalize swimming pool kwanza maana akija kufulia atashindwa kujenga..
Naona nigga anaporomosha shit za kutosha,Hahahahah
Ushauri kuntuDiamond aanze kuwekeza mziki ushaanza kumuendea vibaya,ule mtaa alionunua Mwananyamala ajenge apartment nzuri hata flow nne apige fence/parking ya gari 10 aweke na ulinzi wa kutosha,na uhakika atakuwa anakula 6,000usd per month aache kuwekeza kwa kina wema na wapambe.
mdauuuuuuu KIKOSIKAZIMoja ya sifa kuu ya mashabiki wa huyo ni kundi flan la watu kama mahousigali,walioko kwenye balehe au kuvunja ungo na kama mtu ni mzima basi ni wale kula kulala,hawana muda wa kufikiria maisha.
Kwa wenye kujitambua/akili hawapendi mtu mwenye kujikweza kwa mambo ya kijinga.Leo habari zako za ngono zinakuwa ni habari za kitaifa kana kwamba ni yeye tu mwenye mapumbu.
T.I kasema Ladieeeees hadi wanaume wakasema yeaaah. Hahahahaaaa