Sir jj
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 320
- 144
Moja ya sifa kuu ya mashabiki wa huyo ni kundi flan la watu kama mahousigali,walioko kwenye balehe au kuvunja ungo na kama mtu ni mzima basi ni wale kula kulala,hawana muda wa kufikiria maisha.
Kwa wenye kujitambua/akili hawapendi mtu mwenye kujikweza kwa mambo ya kijinga.Leo habari zako za ngono zinakuwa ni habari za kitaifa kana kwamba ni yeye tu mwenye mapumbu.
Bila kuuliza wala kukuonana...wewe pia ni mmoja wahao mashabiki wa Msanii huyu namba moja.
Teh teh teh unafikiria maisha????