T.i na mvua hii atapanda kweli au ataleta mambo ya michael jackson
Mkweli77 mpige picha fasta... hahahaha
Dimond karudi kuja kufunika haha..mlidhani yameisha
Acha uwongo wewe
Da wanajamvi huyu mdogo wetu amewafanya nini watanzania hasa vijana wenzake,naona ameingia kutumbuiza watu wanamzomea na kupiga kelele na kuita Kiba,Kiba,Kiba,japo alijaribu kupiga nyimbo aliemshirikisha Ney wa mitego ndo angalau kidogo watu walikua wakimshangilia Ney,sasa pana nini wanajamvi

DIAMOND kukaa muda huo bila kubadili vazi. Kweli alikuwa analia