Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,884
- 952
Pamoja na remix ya my number one kupigwa muda huu naona mzuka wa wapenzi kidooogo umeibuka....duh!
Watanzania hawajitambui. Mitaani wanapenda kitorondo halafu sijui nini
Watanzania hawajitambui. Mitaani wanapenda kitorondo halafu sijui nini
Pamoja na remix ya my number one kupigwa muda huu naona mzuka wa wapenzi kidooogo umeibuka....duh!
DIAMOND kukaa muda huo bila kubadili vazi. Kweli alikuwa analia
Mbuta nanga Wanajeshi wakitokea hapo ??
Davido hapend kuchezaaaaaa hhhhaaaaaa
Jamani watu wamechoka kushangiliaaaaaaaaa wamesimama mnooo wamebananishwa kama matenga ya nyanya
Ushabiki mbaya.Thing fall apart(chinua achebe)
Diamond na davido wajipange upya sijaona kitu still kiba on top
Ha ha ha ha my ribs
Davido na Diamond wameamua kuwakomoa Clouds leo ,
Diamond na Davido ni nonge la collabo.. Wamewakomoa Clouds leo,