Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,327
"Habari zake za ngono zinakuwa habari za kitaifa...."This is real a freak!(jus laughing)Mkuu umerusha jiwe gizani.
Nakumbuka miaka mitano iliyopita aliyekuwa
nguli wa filamu Nchini Tanzania marehemu
""Steven Kanumba"" alienda kwenye jumba la
Big Brother....
amini usiamini bila sababu yyte ya maana
watanzania ndo walikuwa wa kwanza kuanza
kumsema kuwa hajui kuvaa, nani alimchagua ,
hajui kiingereza mpaka kufikia kumuigiza!!!
Walisahau hata watu maruufu kama Messi na
wengine wengi hawajui kuongea kabisa lugha
hiyo..
Baada ya kifo chake watanzania hawahawa
wakaanza kusema alikuwa nguli
aliyetuwakilisha vizuri nje ya nchi na kulia
sana!!!kumbe wakati akiwa hai tulikuwa
tunamshusha chini..
Miaka mitano baadae Tanzania imempata mtu
anayeiwakilisha vizuri nje ya mipaka na
kuitangaza vizuri nchi yake..
Pasipokuwa na sababu za msingi (chuki binafsi
tu)anapangiwa njama za kuzomewa na
kuabishwa katika ardhi ya nchi yake ambayo
kwa namna moja au nyingine kuna watu
wameifahamu sababu yake!! Ukiuliza sababu za
wengi wao kumchukia ni mafanikio yake lakini
hata kama humpendi mtu hivi ndo hadi
umzomee kwa kiasi kile !!!
leo na kesho naye huyu akitoka utaskia
hawahawa waliokuwa wanamzomea wanaanza
kusema jamaa alikuwa anatuwakilisha vizuri
sana , ametutangaza sana kimataifa!! lakini
Watanzania wenzake ndio vinara wa
kumuangusha..
Si lazima kila mtu ampende Diamond ila
kutumia nguvu kubwa sana kumuangusha mtu
ni ishara ya uwoga na Roho ya kimaskini...
Nimeamini ""maisha bila unafki hayaendi""
Diamond ni jembe ktk muziki huu kizazi kipya. Na ninavyomjua huyu jamaa atatoa kitu kingine kikali muda si mrefu kuwanyong'oshe wote waliomzomea. Jamaa nyimbo zake zinaburudisha watu wa rika zote, mashabiki wake na hata wasio mashabiki wake!
oh my gosh!!!Moja ya sifa kuu ya mashabiki wa huyo ni kundi flan la watu kama mahousigali,walioko kwenye balehe au kuvunja ungo na kama mtu ni mzima basi ni wale kula kulala,hawana muda wa kufikiria maisha.
Kwa wenye kujitambua/akili hawapendi mtu mwenye kujikweza kwa mambo ya kijinga.Leo habari zako za ngono zinakuwa ni habari za kitaifa kana kwamba ni yeye tu mwenye mapumbu.
Umeeleza vema sana, ngoja nirudi nikakupe like, sasa naomba utudadavulie kidogo kuhusu fitna za ma don wa town! Am interested kujua walau kidogo! Ahsante!
huyu dogo ashatumiwa sana na hao clouds na hayo ni sehemu ya malipo yake!Lakini tuwe wakweli,hawa klauz maccm kuna kamchezo wamemchezea hapa diamond,i smell something..diamont atakuwa kawagomea kutumika kama akina FA
What goes around comes around...mimi ni mmoja wa wanaotamani huyu dogo afulie..sijui kwanini tu...bila shaka nitakuwa na roho mbaya tu...but to be honest,huyu kijana ana dharau sana siku hizi,hajui waliompandisha wanaweza kumshusha vilevile!
tatizo ni dharau na kujiona yupo juu ya tanzania mbona mwanzoni walikua wanambeba juu juu imekuaje jana itakua ametukana wakubwa waliotanguliavijana wa dar mna wivu wa kis#ng* kwa diamond.