Diamond mwenyewe kajisababishia,,, yeye badala ya kujikita kwenye kazi anaanza kujenga bif na mtu ambaye anamashabiki wake wengi tu,,, alitegemea nini hapo?
Hebu fikilia kama Diamond angekuwa kitu kimoja na Ally Kiba - ,,,
hizo ni dalili mbaya kwa soko lake la mziki,,,,
ni ishara kuwa anaanza kupoteza mashabiki wa mziki.
kama ataendeleza bif ategemee kuzama zaidi ya hapo.
Ally Kiba nae asijivimbishe bichwa kwa mashangwe ya fiesta ,, afanye kazi na aachane na ujinga wa kujenga bif na Diamond.
wote ni wanamziki wazuri tu.