trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,443
- 10,776
Ali kiba ana kabahati ila naye aache kuvaa skuna sijui moka zile. ..atoke kistaa mambo ya kuvaa kama mwalimu mpya wa shule ya msingi jukwaani siyo mpango. ...diamond achukulie poa kuzomewa kwani wahudhuriaji wa fiesta tunawajua watu wa design gani,ndo maana daladala huwaga nyingi leaders,tunakumbuka mlimani city balaa ulilolifanya
Umenifurahisha mkuu!lakini ni kweli hao waliomshangilia hawatamsapoti kwa kununua kzi yake yyte mpaka fiesta ijayo so atabaki kuwa fiesta boy wakati diamond ndo anasepa zake majuu.Msanii inabidi ujiweke kisuperstar atlist uvutie sasa mkimshauri team zake za kinafiki utasikia hapendi mbwembwe.