Kuna kitu...alisema kuna uhuni.humu ndani na ndio.hup.pia...clouds wanamfinya sababu amewatosa mikoani
Chezea pesa wewe.Davido anapanda Mabarua yenu ya Mahakamani pelekeni kwa mahakimu wenu wasiosoma.
Yaani hii wala haihitaji phd ya Niki wa pili kutambua
Diamond amewakomoa Clouds, Hajaimba kabisa
we toto la kinyaki upo?Yaani hii wala haihitaji phd ya Niki wa pili kutambua
Kumbe Davido ana dimpozi ni shiiider kapooza naye bora kiba
Sababu zimezidi jamani khaaaaa
Mi naona kafanya poaaa kuliko kushindanaaaaa