Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Mafaanikio hayaji kama mvua, Lazima ujipinde. Kama unataka kufikia mafanikio ya juu sharti Ugagamale!
 
Mimi si muumini wa nyimbo za washika suruwali mbele. na ninawachukia sana lakini hayu jamaa ndiye namchukia zaidi hana sifa ya kuigwa na mtu yeyote.mhuni, maraya,kiburi,majivuno,uchezaji usio na sitaha kiujumla hafai ktk jamii ya watu kama sisi rabda wapumbavu tu. Eti anailetea sifa
Tanzania we ----- kweli.

unaponda sana afu utakuta una nyimbo zake kwenye simu yako
 
dharau ya kwanza
1.mziki umekushinda umefulia mpaka umeenda kukopa vikoba umalizie nyumba yako

2.aje nimsaidie kolabo

3. Malizia..

Appoh sina ushabiki katika hili maana wote wawili nawapenda...

Ila hiyo point number one lem make some correction sio Diamond alisema hivyo hao walikua ni matapeli wa mitandaoni wakaja na gia ya Diamond na Kiba... like Diamond kasema hivi kumdis Kiba na Kiba kajibu hivi wao wakiamini ni namna ya kutangaza hiyo Saccos ya mikopo...

So wakati uchochezi unaendelea basi tuongee vitu ambavyo ni real......
 
Kwani ni uongo???hatupendi watu wanaokula kwa jasho lao,mfano ukiulizwa why unampenda Daimond/Alikiba na kumchukua Daimond/Alikiba wengi wao huishia kubwabwaja tu.Wivu wa kike unatumaliza.

that's true ILA mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe,tungekuwa na umoja WA kuzomea wanasiasa mafisadi wanaokula pesa zetu nafikiri tungefanya mambo la maana
 
Hiyo ndio faida ya dharau.

Dharau mbaya,huku kwetu Tabata kuna jamaa mchoma nyama anaitwa Mfojo,alianza dharau baada ya kushika pesa zetu za kutosha hivi sasa sio Mfojo tena bali ni Mchovu yeye na wafanyakazi wake utafikiri hawajawahi kushika thumni!watu wamewasuasa.
 
Hakuna anayomwenea wivu huyo diamond kwani kama kimafanikio bado sana,hivi unajua mafanikio ya kimziki kweli wewe? Ushawaona P-square? Ushamuona Jose Chamilion? Kuwa na Gari na nyumba ambayo haijaisha ndio mafanikio? Kwa levo yake tunaweza kusema amefanikiwa maana kutoka kuokota makopo ya maji hadi kuendesha prado ni mafanikio lakini kistandard wise diamond bado sana ndio maana analilia hadi uero 250.
 
Hakukuwa na umuhimu hata kama anakibali kuzingatia matukio ya wiki mbili hizi! !!!

Washauri wake wanampotosha somehow!!
 
Kinachomuumiza Diamond ni mafanikio yake Watanzania tunawivu wakike sana. Alikiba anaimba nini na kisauti chake kile Diamind is the best artist in Tz ndio maana kaitangaza Tanzania kimataifa. Watanzania tuache wivu mfyuuuuuuu.

Mmh we ndugu twende mbele turudi nyuma Ali Kiba si haba ikija swala la sauti......

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
 
Dharau mbaya,huku kwetu Tabata kuna jamaa mchoma nyama anaitwa Mfojo,alianza dharau baada ya kushika pesa zetu za kutosha hivi sasa sio Mfojo tena bali ni Mchovu yeye na wafanyakazi wake utafikiri hawajawahi kushika thumni!watu wamewasuasa.

Bado Ma Mushka wafanyakazi wake wana nyodo.
 
Na bado atatia huruma asipobadilika......Diamond hana washauri.We mtu kama Wema atamshauri kip cha maana??au huyo Rommy!!!
 
Back
Top Bottom