Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

My dear Kama huna roho hyo huwezi,Mimi nshapigwa Sana!Hawa bodabida kuwaachia chenji ndo kawaida nawahi minadani Nampa 10k alfajiri Hana chenji ukimpigia baadae hapatikani[emoji1]au hapokei yaani Sasa hivi mmekaa tu!
Ndugu ndo muflisi,mchezo nshadhulumiwaga pia yaani tafrani tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh.
 
Fedha ni kipimo cha utu (IMO). Ukimess up na Tsh 10 yangu; nakufuta na kwenye maisha yangu. Mtu asiye na utu; hafai duniani wala akhera. Wewe kwa sababu ya utu; unajivisha viatu vyake na kuibeba shida yake kama ya kwako unamsaidia; lakini yeye hakumbuki kama ulimsaidia so afanye arejeshe. Worse enough ni wale unamkopa, anakuzungusha kulipa ilhali hela anayo; baada ya muda akipata shida anakuja kukukopa tena na ahadi za kulipa deni la kwanza juu. Kuna watu hawana aibu, hawana utu na hawana shukrani pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi khaaaah
 
[emoji849][emoji849] Hilo tatizo. Acha niendelee kuwa na subira.. Midoli, porn, masturbation ni rafiki zake na ushoga.. [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] ngoja niende banda umiza ninaweza pata pisi maana pisi nazo zinapenda mpira [emoji847][emoji847]
 
Acha tu.

Kuna kipindi ilikuwa inafika nakuwa Sina hata Hela ya kula, boom loote nimekopesha[emoji23]
Nyumbani wakaniambia wewe ni mpumbavu.

Nikiwa nikichukua hela zote namtumia mama.
Ananipa ya kutumia kila wiki.


Unajibana kula wali wa buku,unamhurumia mtu unamkopea elfu 10..badala ajibane ale chakula Cha buku siku 5 ,yeye anarudi na Chips yai mishkaki soda...Uliyempa hela unakula wali maharage.
Halafu kesho anakuja tena kuomba hela imeisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mwehu, lol
 
Back
Top Bottom