Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Njoo tupige vyombo mchumbaMi namtaka Saint Anne mwenyewe😄
Njoo tupige vyombo mchumbaMi namtaka Saint Anne mwenyewe😄
Labda Antonnia atakuwa ameelewa nataka nn😅Sasa unataka nijitoe kama Yesu aliyojitoa msalabani?
Nitabakije sasa?
Hadi sasa unazunguka sijaelewa.Labda Antonnia atakuwa ameelewa nataka nn😅
MamboSome people are ingrates and inconsiderate.
Ningekuwa karibu ningekushtua na kofi; washakuona poyoyo
Vyombo venyewe juice😄Njoo tupige vyombo mchumba
Waifu matirioAcha tu.
Kuna kipindi ilikuwa inafika nakuwa Sina hata Hela ya kula, boom loote nimekopesha
Nyumbani wakaniambia wewe ni mpumbavu.
Nikiwa nikichukua hela zote namtumia mama.
Ananipa ya kutumia kila wiki.
Unajibana kula wali wa buku,unamhurumia mtu unamkopea elfu 10..badala ajibane ale chakula Cha buku siku 5 ,yeye anarudi na Chips yai mishkaki soda...Uliyempa hela unakula wali maharage.
Halafu kesho anakuja tena kuomba hela imeisha.
Usilale mapema utaelewa tuHadi sasa unazunguka sijaelewa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Good evening 🤣🤣 Lenie View attachment 2355727
Nakusabahi hakiUsiwape , wanyime dah maana sio poa .. uwe na kauchoyo kidogo .
Yaani mimi sizoeleki na mashoga sina![]()
Saint Anne kwa kujitoa ufahamu hajambo!! Akupe mambo hayo aache kuzingua!Labda Antonnia atakuwa ameelewa nataka nn😅
Kuna pahali inabidi ukaze natiUnakuta ndio ninako ka elfu 10 hakohako halafu mtu analeta shida zake hata kumnyima unashindwa.
Ukipendwa pendeka dada, and vice versaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Matani ya kweli sio poa ujue
Nilijua tu we mtu mzima umeelewa🤣Saint Anne kwa kujitoa ufahamu hajambo!! Akupe mambo hayo aache kuzingua!
Usisahau huyo ni pisi ya ChugaDah wewe dada una roho ngumu!
Unamuacha mtu na bado unampiga spana.
Kwamba ukiachwa achika au😂😂😂Ukipendwa pendeka dada, and vice versaaa
Wige bado hujafikisha mzigo tu?? bado nasubiria selfii yako I hope saivi haudrive ! Haya tupia vituuuSamaleko

Utu uzima dawa Lect!!Nilijua tu we mtu mzima umeelewa🤣
Kwamba una hurumaMimi naweza niwe na kidogo ila nikampa mtu.
Nikianza kupiga miayo sasa,mwenzio anatanua tu huko na mm si mwepesi sana kuomba Kwa Mtu.
