Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huku Tanzania ukimkopesha mtu hela unapoteza hela yako na unampoteza na yeye.


Kuna mwingine alikuwa mpendwa mwenzangu..tena kiongozi Fellowship.
Tulipoanza semester nilienda na nguo za mtumba..Mzee wangu alinipa mtaji..nikajumua mtoto wa watu.

Kufika chuo nikamwambia nauza nguo...akaniambia lete nikuuzie maana yeye watu wengi sana wanaenda rum kwake na anajichanganya sana na watu.
Nikampa...alinambia watu wananunua..nikafurahi nikamwambia basi zikiisha utaniambia.

Sikupata hela hata sh mia wala nguo.
Na hakuwahi kuzungumzia chochote na mimi nilikaa kimya hadi leo na nilishasamehe.
Umneikumbusha Pesa zangu zilizo nje more than 2m
Acha kabisaa..wanadamu wa TZ sio kabisa wamenifelisha Sanaa!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mie ndo siwezi kabisaaaa, yaan kila nkijaribu kuacha, nashindwaaa.

Toka niko 4m 5 had leo, siwezi kuachaa yaan.
My dear Kama huna roho hyo huwezi,Mimi nshapigwa Sana!Hawa bodabida kuwaachia chenji ndo kawaida nawahi minadani Nampa 10k alfajiri Hana chenji ukimpigia baadae hapatikaniau hapokei yaani Sasa hivi mmekaa tu!
Ndugu ndo muflisi,mchezo nshadhulumiwaga pia yaani tafrani tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom