Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Fedha ni kipimo cha utu (IMO). Ukimess up na Tsh 10 yangu; nakufuta na kwenye maisha yangu. Mtu asiye na utu; hafai duniani wala akhera. Wewe kwa sababu ya utu; unajivisha viatu vyake na kuibeba shida yake kama ya kwako unamsaidia; lakini yeye hakumbuki kama ulimsaidia so afanye arejeshe. Worse enough ni wale unamkopa, anakuzungusha kulipa ilhali hela anayo; baada ya muda akipata shida anakuja kukukopa tena na ahadi za kulipa deni la kwanza juu. Kuna watu hawana aibu, hawana utu na hawana shukrani pia.
Na hela anapata ila ametulia tuli.
Mimi siwezi kumdai mtu anayejua kabisa kuwa anadaiwa.

Si akamtuma na ndugu yake aje akope .Alivyoanza kuelezea akasema nimeambiwa na Fulani kuwa unaweza kunisaidia.😂

Nilivyomwambia mdogo wako akasema pumbavu zao usiwape tena hata mia🤣🤣🤣🤣
 
Some people are ingrates and inconsiderate.

Ningekuwa karibu ningekushtua na kofi; washakuona poyoyo
 
Anne katuzidi. Unfortunately they are abusing her kindness.
Acha tu.

Kuna kipindi ilikuwa inafika nakuwa Sina hata Hela ya kula, boom loote nimekopesha😂
Nyumbani wakaniambia wewe ni mpumbavu.

Nikiwa nikichukua hela zote namtumia mama.
Ananipa ya kutumia kila wiki.

Unajibana kula wali wa buku,unamhurumia mtu unamkopea elfu 10..badala ajibane ale chakula Cha buku siku 5 ,yeye anarudi na Chips yai mishkaki soda...Uliyempa hela unakula wali maharage.
Halafu kesho anakuja tena kuomba hela imeisha.
 
Hahhaa usimpangie matumizi ya hela yake; hata kama ni mkopo🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom