Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi sina mashoga.
Nikipita sehemu ni Salamu tu na Sinaga maneno.

Sasa sijui sura yangu imekaa kipole sana[emoji23].
Yaani mtu akiniona huwa anakuwa comfortable kunieleza shida yake na huwa nasikiliza.
Hebu nikopeshee mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi Ndugu kuna masuala wakiamua kucharuana wanacharuana haswaa huko kwenye grupu la familia wanasemaaaanaa wanachambaaana wanajadiliiii mie kimyaaa midamida nakomenti kwa ufupi dada Zangu sasa ni wanaongeaa balaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo uzoba upi wee unao??
 
Iphone ni simu pekee? Yan nyie


[emoji1787][emoji1787] sio dharau
Nina experience
Iphones, limitations nyingi mnooo, afu kuna App zinagoma ku install. Nkaamua niachane nayo.

Heka heka zangu, kwa iphones ziligoma, na nkachagua heka heka, iphones hapanaaaa. Labda baadae nikimaliza heka heka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom