Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humu single ni mm na ww naona nikifa ukuni wa moto unaninyemelea
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humu single ni mm na ww naona nikifa ukuni wa moto unaninyemelea
😆😆😆😆😆😆Au tungekubeba, alafu tunakuacha ulale bafuni 😆😆😆 ubaki wajiuliza umefikaje fikaje
Ahsanteeee sanaa, ntakuja siku 1 kutembea.Hii mtwara vijijin mkuu karibu sana ule korosho
Mm nilipendwa na binti jf alivyoniona Naomba vocha humu akaniacha [emoji856][emoji856][emoji16][emoji16][emoji16] Ivi na kujipitisha pitisha kwetu koote hakuna hata mdada mmoja wa kutuonea huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi kabisaa.. Nazawadi yako unique 😊😊😊.. Ungekuwa unaonja tu ungeikosaaa ☺️☺️😆😆😆😆😆😆
Bora tu sio mfuasi...naona kabisa ningenyanyasika sana 😶🌫️😁
DuhAcha kabisa
Love is beautiful jamani...Hasa iwe two way Alooo
Naona Tanzania yote yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan ningekuwa mchaga ningekuwaje sijui maana hii sample hata kwetu hakuna ni mpya[emoji23][emoji23]
😊😊😊 Labda tumeumbwa kuwa ma singleMm nilipendwa na binti jf alivyoniona Naomba vocha humu akaniacha [emoji856][emoji856]
Ndio yupoje huyo mdudu?Mdudu mwenye mapembe mawili na kichwa 🙄🙄🙄
Pep 😎😎😎Ndio yupoje huyo mdudu?
Nikipakiwa aiseee mbona ntakuwa kichaa kabisaDuh
Ushapakiwa kongo dust[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahWote mpoo mmeshafika eneo la tukio Lovelovie sophy27 mawardat Lenie Depal cocastic Nuzulati Saint Anne Carrasco putin Carlos Tevez Antonnia National Anthem mkwepu jr na reymage . Nimewaita mkuu Mjep shusha gombania goli hizo tuuwane humu ndani
NdiwoooooooohTayarrrri@Antonnia@St.Anne cocastic @lovielovie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna humu ndani kuna kocha wa man City na hamsemi!
Umeshindwa kusubiri harusi[emoji848]Koma kumwita bwana wangu kipara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha dharau wee, khaaaahHizo simu hapanaa [emoji1787][emoji1787] ikiwa chini ya 350
Kuna mtu alinipa infinix mpyaaa
Na box lake
Ikanipiga tukio usiku
Kesho yake nikaiweka sokoni
Landa kuchezea kwenye 6'5 X 6'5Kuna humu ndani kuna kocha wa man City na hamsemi!
Si angenipa shavu la kucheza Mpira niachane na ujobless.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukio gani?!![emoji1][emoji1][emoji57][emoji57][emoji1][emoji1][emoji1]Mimi nyumbani wananiachamba wadogo zangu kaahh!muone infinix tekni unashindwa hata kutumia iPhone 6 plane!nawaambiaga hameni kwangu wachawi nyie[emoji57][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kwenye picha ndo nakoma nnavyochambwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una hakika?Umeshindwa kusubiri harusi[emoji848]
Ushawezwa mdogo wangu
Kwisha habari yako