Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
KabisaaaUtu uzima dawa Lect!!
KabisaaaUtu uzima dawa Lect!!
Hebu iandike hapaKwa kidogo unachotoa ubarikiwe
Mimi mvivu pia wa kuomba , ukiona sms yangu ya kuomba hela utacheka lol
Jiroge uambulie cha mbavu!!😂!Kwamba una huruma
Ukiombwa unampa
Ukililiwa unatoa
Duh![]()
Aje nimpe,Nina elfu 2 tu hapa.Saint Anne kwa kujitoa ufahamu hajambo!! Akupe mambo hayo aache kuzingua!
Ahaaaa🤣Aje nimpe,Nina elfu 2 tu hapa.
Siwezi,beki hazikabi.Kuna pahali inabidi ukaze nati
Hao rika lakoHuwezi amini sina mashoga
Zaidi ya watu tuliosoma pamoja tu na yunaishi mikoa tofauti.
Hapa nyumbani yaani nikitoka kwenye mizunguko basi narudi nyumbani .
Majirani wengi tu rika langu ila ndio sizoeleki.

Mbona unacheka?Ahaaaa🤣
Sasa unamgandia mtu ili iweje 🤣Kwamba ukiachwa achika au😂😂😂
hello kakaNakusabahi haki
Kocha gani mwembamba hivi nimehama timu





KapikeSanta Lucia
beautiful sunsetBunju
Bora umejiwahiJirani umeamua kuniumbua? Haya ni mambo ya kifamilia jirani (tutadiscuss nyumbani)![]()
Na mashabiki wake vimbaumbau.. mf si wewe tu 🤔Kocha gani mwembamba hivi nimehama timu![]()
Nipo mkuuSamaleko