Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,217
- 21,308
Ngoja niwasubiri washindi hapa 🙌😂Selfika
Ngoja niwasubiri washindi hapa 🙌😂Selfika
Ni huzuniiTukio gani
Wamepotea ghafla🤠🤠🤠🤠Watu wapo busy kuingiza
Zingine umeziacha 😂😂😂 umeona uchukue tu bukuAsanteeee mdhamini Mjep View attachment 2355401
kweli kabisaPsychological facts:
Unafahamu ya kuwa chakula alichokiandaa mtu mwingine ni kitamu kuliko ulichokiandaa wewe hata kama mlitumia pishi moja?
😂 Mtaniua mbavu zangu wanaselfika kuna watu hata hamu na vocha hawana tena.
Ndiyoo mkuuZingine umeziacha 😂😂😂 umeona uchukue tu buku
🤠🤠ðŸ¤
Kudadeki nimeamini uchawi upo leoSelfika
Hahaha komaaa na tekno lako 🤣🤣Kudakeki nimeamini uchawi upo leo
Kudadeki nimeamini uchawi upo leo