Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

pole aiseee
kutoa ni moyo , uwe unawadai
mimi ningewadai aisee , mtu akisema anarudisha basi iwe kweli
Siwezi kudai.

Kuna mmoja alikuja kukopa ya kupeleka vicoba huko.
Akasema akishapeleka ni zamu yake kuchukua.
Nikampa..
Hakunilipa.

Baadaye muda umepita akawa ameumia mguu alidondoka akajigonga goti...Alikuja nyumbani kuomba spirit.
Nikagawia..Nikamuelekeza dawa ya kukausha kidonda haraka anunue.
Akasema hana hela,Nikampa hela ya dawa na nikamwambia ile hela niliyokukopea nimekusamehe.

Kesho yake akaja...anasema ana shida ya hela anunue mahitaji anafanya biashara ya chips.Akiizungusha atanirudishia.
Akataka kiasi,Nikampa ila nilimpa pungufu ya ile aliyotaka...ilipungua kama elfu 10 hivi.
Nimamwambia ungeniambia mapema ningejitahidi kubana matumizi..Jana ndio nilitoa hela ya matumizi yangu na hiyo ndiyo iliyobaki.
Akaondoka.

Jioni akanitafuta,anauliza kama sijaenda tena benki ili nimtolee elfu 10 iliyobaki eti hajanunua tomato na chill sauce!
Nikamwambia sijaenda.
Kesho yake tena akanitafuta..tena akaja nyumbani kabisa...nikamkaribisha nashangaa amekaa kimya,Nikamwambia nakusikiliza..Anasema umesahau??Ni kuhusu ile hela iliyobaki.

Binadamu waswahili ni wajinga sana.
 
Eeh binadamu sie tuna shida sana
Ubarikiwe na roho hiyo kutoa
Wanyaki mna roho nzuri kweli
 
Yani mwanaume ukimkopesha mwanamke hela akikulipa niite mbwa nimekaa pale
 
Fedha ni kipimo cha utu (IMO). Ukimess up na Tsh 10 yangu; nakufuta na kwenye maisha yangu. Mtu asiye na utu; hafai duniani wala akhera. Wewe kwa sababu ya utu; unajivisha viatu vyake na kuibeba shida yake kama ya kwako unamsaidia; lakini yeye hakumbuki kama ulimsaidia so afanye arejeshe. Worse enough ni wale unamkopa, anakuzungusha kulipa ilhali hela anayo; baada ya muda akipata shida anakuja kukukopa tena na ahadi za kulipa deni la kwanza juu. Kuna watu hawana aibu, hawana utu na hawana shukrani pia.
 
Back
Top Bottom