Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Si ungenitongoza kuleKwani unadhani nitakutongoza?
Babe wangu handsome kuliko wote
Kwa ule uzi

Hadi leo sijatongozwa
Mademu mna roho ngumu haki
Si ungenitongoza kuleKwani unadhani nitakutongoza?
Babe wangu handsome kuliko wote

Kabisa na Anne anavyosali hapo mtu hawezi kusogea kabisaAnne Awe na Amani kabisa!! Semeji na aheshimiwe na wanawake wote!
Na anavyonichekesha sasaBeautiful indeed .
Hapo unacheka tu muda wote hadi jino la mwisho .
Aisee akisogea mtu yaani vita ni ya Bwana wa majeshi🤣🤣🤣🤣🤣Kabisa na Anne anavyosali hapo mtu hawezi kusogea kabisa
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza *#This time CAFCL tunaenda final
Ndoa iheshimiwe na watu wote😂Anne Awe na Amani kabisa!! Semeji na aheshimiwe na wanawake wote!
Kicoba kikianza Mimi niwe wa kwanza kuchukua Hela.Ivi humu tupo single mie na Carrasco putin peke yetu au na kuna single wengine wanapiga kimya kimya.. Tuanzishe kikoba cha walio single
Hahahaha ukiona sms yake tuNa anavyonichekesha sasa
Hadi pengo la mwisho linaonekana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Amen amen!!Ndoa iheshimiwe na watu wote😂
Hadi akina Wige.
Kwani upo single? Si kunu kuna mwananchi anaitwa kipara ngoso..Kicoba kikianza Mimi niwe wa kwanza kuchukua Hela.
Hahahaha atakoma aiseeAisee akisogea mtu yaani vita ni ya Bwana wa majeshi🤣🤣🤣🤣🤣
UwiiiHahahaha ukiona sms yake tu
Mwili una 🔥 🔥.
Official bro. 🤣🤣🤣🤣Ila wewe jamaa si ulikuwa team makolo fc.. Umehami lini jangwani na sina taarifa 😎😎
Vita ni ya BwanaHahahaha atakoma aisee
Hahaha najiandaa kuangalia mpira siunajua mm shabiki wa Ajax damu damuCarrasco putin umemaliza kudeka au bado ?
😎😎 Ulitakiwa useme, Antonnia akufanyie mtoko wa maana wa kijangwani jangwani.. Unakosa vitu vizuri kutoka jangwani asieeOfficial bro. 🤣🤣🤣🤣
Umenikumbusha jamaniUwiii
Yaani Kuna muda naanza tu kusoma msg za nyuma
Mwili wote unasisimuka.
Mara naendelea kusoma,woiiii inaingua msg mpya 😍😍😍