Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weuwee mimi huyooo Man City naenda kucheza timu anayoshabikia coca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho tunaiua Borussia Dortmund km hatuijui vileee.

Afu uwe buzzy kutazama leo Ajax anawabamizaaaa, weraaaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho tunaiua Borussia Dortmund km hatuijui vileee.

Afu uwe buzzy kutazama leo Ajax anawabamizaaaa, weraaaaaaah
Nishaacha kutazama hadi Klopp atakapoacha kuvuta bangi.
 
Kama app gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] za kiwaki, chimbozzz km chimbozz yaan aaaah nkaona wee, siweziiiii.

Kuna hiyo App sasa ika install fresh, kufunguka sasa, ni mtihan, kila nkijaribu inagomaaa, kheeeh nkashindwa mie.
 
Hapana jamani; hela ni ngumu sana kwa upande wangu. Uwe na utu unirudishie basi. Mtu unaanza kudai hadi wewe ndiyo unaonekana msumbufu sasa aaah
A very friend of mine kanipigia sim,mwezi March"hallow udugu niazime laki moja nilipe mchezo kesho j1 narudisha bestie"miye Tena kwa no ipi?ntumie kwenye akaunti hii jina Fulani,miye Tena chwaaap!nikatuma!
J1 kimya,j2,mpk leo!sijui j1 ya ngapi![emoji38][emoji38][emoji3526][emoji3526][emoji1732]na kauchuna km Hakuna kitu!
Acha tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom