Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Wizi mtupuTulia hapo nishushe somo la kutosha
Ngoja niombe ruhusa kwanza kwa bi mkubwa
Naona jana mlikua mnaongea wenyewe tu hapa, hivi mnaelewa kuwa wanaume pia tunapenda tena kuliko nyinyi??
Wizi mtupuTulia hapo nishushe somo la kutosha
Ngoja niombe ruhusa kwanza kwa bi mkubwa
Naona jana mlikua mnaongea wenyewe tu hapa, hivi mnaelewa kuwa wanaume pia tunapenda tena kuliko nyinyi??
Nakushitaki kwa kunifanyia shambulio la aibu kabla sijaanza kuandika🤣🤣🤣Wizi mtupu
Na bora usiandike chochote maana ni utapotosha umma🤣🤣🤣Nakushitaki kwa kunifanyia shambulio la aibu kabla sijaanza kuandika🤣🤣🤣
Ngoja mwasheria wangu aamke (didi yako) 🏃🏃🏃🏃
Vocha siwezi kukunyima jirani yake myoyambendi labda kuna vingine vya kukunyima🤣🤣
Basi nimeachaa😄😄😄🙌🙌🙌🙌🙌Na bora usiandike chochote maana ni utapotosha umma🤣🤣🤣
Sio mimii shoss itakua kuna mtu alihack akaunti yanguu walai!Kampumzike tyuuh, leo ulikua na heka heka hatareeeeh.
![]()
Mr vocha Akiweka desa naomba nitag dear! Tena nawao waweke ili tubalance mawazo sio kusikiliza upande Mmoja na kutoa conclusion!Hebu shushaa nalisubiri
Uchoyo dhambi ujue😂😂Vocha siwezi kukunyima jirani yake myoyambendi labda kuna vingine vya kukunyima🤣🤣
Alafu huu ujirani wenu huu.... siku nikifahamu mnaishi wapi nitakuja kuwachungulia🙊
dah,siku ishakua mbyNingekuwa na hata ya zamani ningetupia sina access nazo kwa sasa
Morning sis!
Sikuona dear kumbe ilitumwa hii jana? Basi tuachane nayo ibaki kama angalizo.Morning sis!
Lol hataree sana hii!
Naona mnataka kuendeleza mjadala wa jana sis 🤣😉😉🤔🤔!
Leo nitakua msomaji zaidi hahahah!!
Hapana haijatumwa sis naongelea mambo ya mahusiano kuvunjika na kuachana jana watu walifunguka mnoo!!Sikuona dear kumbe ilitumwa hii jana? Basi tuachane nayo ibaki kama angalizo.
hz ndoa za mikeka, na zile za kubebana juu kwa juu
Ndiooo.. naona mmeanza funguka sasa!hz ndoa za mikeka, na zile za kubebana juu kwa juu
NO .mie sipo ktk mjadala wenu.nimechangia hy post tu rafiki.Ndiooo.. naona mmeanza funguka sasa!
Safi sana!!
The stage is yours men tiririkenii nasie tujievaluate tunakwama wapi! !
🤣🤣🤣🤣🤣!! Tunashare ideas ili sote tujifunze mjeda acha uchoyo wa madesa banaa wee hutaki dada zako tujifunze na kujirekebisha eehh?? Unapenda dada zako ndoa zitushinde tuachike eeh???🤔🤔!NO .mie sipo ktk mjadala wenu.nimechangia hy post tu rafiki.
Kwako pia jirani!Asubuhi njema