Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,200
Hesabu hizi hiz nilizopataga 2/50😂Harusi yangu haina mambo mengi ukijibu maswali ya hesabu unaingia ukumbini
Hesabu hizi hiz nilizopataga 2/50😂Harusi yangu haina mambo mengi ukijibu maswali ya hesabu unaingia ukumbini
😂 😂 😂Yule sugar mamy wako kakuacha 🤣🤣👈👈
Hahahah harusi hiyoHarusi yangu haina mambo mengi ukijibu maswali ya hesabu unaingia ukumbini
Cheupe wangu upoWazima humu
Nipo mzima wewCheupe wangu upo
Hzo hzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjiandae tu unamuona kuku yule ananukia kitakachokubeba ni kufaulu hesabu tu[emoji23][emoji23]Hesabu hizi hiz nilizopataga 2/50[emoji23]
Siyo mzmaNipo mzima wew
Jiandae tu na trigonometric [emoji23][emoji23]Hahahah harusi hiyo
Yasiwe magumu basi [emoji23][emoji23]
Ubarikiwe nduguNaweka oda ya ugali kn anayekuja?
Ugali nyama Wanatuma na mikoani?😂Naweka oda ya ugali kn anayekuja?
Tatizo nnSiyo mzma
Unipeleke tuition kwanza 😂😂Jiandae tu na trigonometric [emoji23][emoji23]
Uchoyo huoHzo hzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjiandae tu unamuona kuku yule ananukia kitakachokubeba ni kufaulu hesabu tu[emoji23][emoji23]
Unaniachaje nakuwa single wakat ww upoTatizo nn
Mchiki down, mapambanoUnipeleke tuition kwanza [emoji23][emoji23]
Wee jirani upo kweli??? Kimya sana jirani miss you!!😂 😂 😂
Ndiooooooo Anne huyoooooo wauweeeehhhhh!💃💃🤸🤸Huyu dada aliimba vizuri huyu dada.
Tutaisikilizia vizuri tukishaingia chumbani🤗
Online ndo natakaMchiki down, mapambano