Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,659
- 97,350
🤣🤣🤣 Wapi mzeeKaribuni.tupunge upepo beach, huku tunatazama maji ya kijaa
🤣🤣🤣 Wapi mzeeKaribuni.tupunge upepo beach, huku tunatazama maji ya kijaa
Mida ya lunch hii mjeda njaa zinaumaa tukaribishe chakula kwanza store badae😋!Karibuni.tupunge upepo beach, huku tunatazama maji ya kijaa
niko gaska beach,🤣🤣🤣 Wapi mzee
Mm complicated [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe mwenzetu na sie hahaha [emoji23][emoji23]
Hahahaaaa!Sauti yangu ukiisikia unalowa chini haraka sana
hahahahaha.njoo ule samaki beach,ndo nimeagiza hapa na ugali mkubwaMida ya lunch hii mjeda njaa zinaumaa tukaribishe chakula kwanza store badae😋!
Shikamoo ✋
Basi wewe unaye mtuMm complicated [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lol😋😋😋😋! Navopenda samaki sasa nakuja hapo chap kwa haraka wee ongeza ugali tu mjeda😘hahahahaha.njoo ule samaki beach,ndo nimeagiza hapa na ugali mkubwa
Sina mtu mm nalala mwenyewe kama panga [emoji23][emoji23][emoji23]Basi wewe unaye mtu
Hebu fanya mchakato umuweke ndani ,
Hahaha weweSina mtu mm nalala mwenyewe kama panga [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule sugar mamy wako kakuacha 🤣🤣👈👈Sina mtu mm nalala mwenyewe kama panga [emoji23][emoji23][emoji23]
Pepo trokaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule sugar mamy wako kakuacha [emoji1787][emoji1787][emoji118][emoji118]
Nataka nikae miezi 6 Kwanza ndyo nitatafuta mtuHahaha wewe
Tafuta mtu basi
Utatupa kadi za mialikoNataka nikae miezi 6 Kwanza ndyo nitatafuta mtu
Madam hii language umetumia hapa imekaa kisela sana🤣🤣🤣🤣Santo sana mr vocha!✌️ Huu muhula umekaa kiwaki sana mwalimu ukizubaazubaa NECTA hii hapa!
Shikamoo BestMadam hii language umetumia hapa imekaa kisela sana🤣🤣🤣🤣
Harusi yangu haina mambo mengi ukijibu maswali ya hesabu unaingia ukumbiniUtatupa kadi za mialiko
Muda ukifika
Huyu dada aliimba vizuri huyu dada.Kupatwa kwa Saint Anne 🤣🤣🤣 in babu yenu Shimba ya Buyenze voice 🤭
Kuna Uzi Fulani huko umetrend..Harusi yangu haina mambo mengi ukijibu maswali ya hesabu unaingia ukumbini