Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Morning Mkuu , habari ya leo ?Good morning
Morning Mkuu , habari ya leo ?Good morning
nani huyo anakuliza rafiki ?Hahahah ukipenda lazima ulie jamani
Uachwe na unayempenda aisee inauma ile mbaya 😂😂 .
Tuna safari ndefu , acha tujifunze
jamboGood morning
Kumekucha salama bestMorning Mkuu , habari ya leo ?
Hakunanani huyo anakuliza rafiki ?
Jambo mkuujambo
Sipo mood na picha bestKumekucha salama best
Selfika bado wamelala wakiamka wanaambulia za uso
mkuu,hajambo yuko salamaJambo mkuu
Salama?
nimemiss picha yakoSipo mood na picha best
Camera libaya naliona
Huwa nahuzunika tu hadi nilie basi nimeumia sanakwann hakuna
Habari nzuri rafiki
Ooh polenimemiss picha yako
Na mimi nataka nishushe desa langu hapaShougaaaaaa angu nipooooooo hapaaa, nasoma madesa ya mapenzi na mahusiano,
Mko vizuriii mnoooō
Hebu shushaa nalisubiriNa mimi nataka nishushe desa langu hapa
Kaa mkao wa kula
Ningekuwa na hata ya zamani ningetupia sina access nazo kwa sasanimemiss picha yako
SigawiNdyo unagawa matunda na mm Naomba tunda![]()
Didi yake naniiSigawi
Tulia hapo nishushe somo la kutoshaNingekuwa na hata ya zamani ningetupia sina access nazo kwa sasa