Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Ujinga wa wanawake wengi wa Africa, hata wengine hawa wanaojiita Wafeminia (feminists) ni huu.

Wanaona ujanja nibkuachiwa wadange, wawe ombaomba kwa wanaume.

Badala ya kuona ujanja ni kujenga uwezo wa kujitafutia wenyewe bila kutegemea wanaume.

Ujinga huu nauona hata hapa.

Yani wanataka kuhalalisha umalaya, kudanga, kujiuza, na hapo hapo wanataka kuheshimiwa kama wanawake.

Ukishataka kuuza mbunye wewe ni malaya tu ushauza utu wako kubali kuwa kiumbe dhaifu tu.
Na siku hizi wamekuwa wazi haswa utamsikia Mimi nataka mwanaume mwenye hela akiitwa Malaya anakasirika au wanamsemo Mimi siwezi kukupa Bure na akija ghetto lazima atataka umwachie na hela japo kala vizuri na sex kaenjoy kama sio u Malaya ni Nini?
 
Sio kuhusu mimi…. kuhusu jamii collectively! Wanawake hawapati faida kwenye kufanyishwa ngono bila kuomba cha ziada, unfortunately.

Tukiijadili hiyo mifumo tutaiondoa? sisi kama wana JF..!?
Mbona wanawake wenyewe huwa Wana enjoy kufanya sex mpaka wasema usichomiboe baby huku akipiga kelele huku amekushika kwa nguvu sio wanaume pekee na hapo kakojoa alafu akitaka kuondoka anataka umwachie na hela kumbuka hapa kala msosi vizuri ghetto Sasa unatofauti vipi na u Malaya?
Kama unauza weka wazi kwamba unauza. Kinacholalamikiwa ni ile wanawake kuona they should get paid for been in relationship
Mwamba umemaliza kila kitu hii ndio hoja yetu kuu ila haipatagi majibu
 
Kama huu ni wito, niko tayari kushiriki.

Wakati tunasubiri jamii ifike huko, ibadilike… Kwasasa tuishi vipi? Given hii circumstance ambayo tumeijadili hapa toka saa sita mchana kwa saa za Africa Mashariki.
Kila kitu kinaanza kwenye mawazo.

Kuna watu wengi wanaangalia mazungumzo haya na kujiongeza kutokana na hoja, amini usiamini kuna wengi wamekaa on the fence wanaangalia hoja, na hoja yako ya hapa JF inaweza kubadili mawazo ya mtu akatae kudanga na kutafuta njia nyingine, au hoja yako inaweza kumfanya mtu akubali kuwa kudanga ndiyo maisha. Hata kama ni polepole tu.

Najua wengi wanapenda kuona mambo ya haraka, ila mabadiliko ya kiutamaduni hayafanyiki kiharaka, hayafanyiki kwa revolution yanafanyika kwa evolution. Mimi napenda revolution, don't get me wrong, lakini naelewa uhalisia unaenda na evolution zaidi.

Kwa hivyo, kwanza tukatae utamaduni wa kudanga sisi wenyewe. Hizi hoja cheap za ku commoditize ngono kama girl power ambazo hata wafeminia wengine wanazo ni za kijinga tu, kwa sababu hata wao wanaona kimsingi this thing is dehumanizing.

Tukatae kudanga, tukatae kutetea kudanga, tulazimishe mabadiliko ya kimsingi katika jamii. Pengine wanawake wanakuwa disadvantaged kibaiolojia wanazaa, wanapoteza muda kwenye career. Kwa hivyo tunaweza ku push mifumo ya kiserikali iwafikirie wanawake kuwa support kwa kuelewa disparity hiyo.

Wanawake ni dada zetu ni mama zetu ni bibi zetu ni binti zetu ni wake zetu, tunawapenda, hatutaki mazungumzo ya haki za wanawake yageuke kuwa ni vita kati ya wanawake na wanaume. Hatutaki wanawake wasio na option katika maisha wanaohitaji kujiuza ili ku survive.

Kwa kubadilisha mifumo hivyo, mwanamke anaweza kufaidika bila kutegemea kudanga.
 
Na kama siuzi mwisho wa siku napata nini kwenye hayo mahusiano ili nithaminishe uwepo wangu hapo, assume na mimi nakutaka pia… (umenitongoza na mimi nataka kukubalia)

Wanawake sio wajinga, mbona watu kibao tu wanaendesha mahusiano bure…. ninyi mnaotozwa ushuru lazima mjihoji nia zenu!!!
Hakuna mahusiano utakayoingia na mdada alafu usiwe unaombwa ombwa hela labda udate na mshangazi
 
Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.

Hahahaaaa 🤓🤣
Eti na ya kutolea, mzungu kweli hakupata mtu sahihi, na sister alimwona kama Dewji !
 
si huwa wanakubaliana kabisa mkuu au?
Mimi sina shida na mwanamke anaejiuza. Infact, mimi shabiki mkubwa sana wa madada poa. Napenda jinsi wanavyofanya biashara yao kwa uwazi. No manipulations, no scamming. Kuanzia mwanzo mwanaume unajua kabisa hapa hakuna emotions hakuna attachments. Namwaga, nalipia huduma, nasepa

I have problem with women who want to get paid for been in relafionship and those who want to sell pussy and to be loved at the same time.
 
Ndio maana nasema huyu alikuwa ni Malaya lakini alishindwa kuwa tu muwazi tangu mwanzo na ndio kitu nachokizungumzia kama una uza sema sio unakataa kuitwa Malaya wakati wewe ni malaya
Naomba kukeleza kuwa kila mwanamke ni malaya kwa nafasi yake.

Umalaya ni kutoa K kwa kutegemea kunufaika kutoka kwa yule anayempa K.

Mwanamke akikupa K akitegemea kupata pesa baada ya kukupa K au apewe pesa baada ya kukupa K, huo ndiyo umalaya.

Kama hiyo definition unaikubali, hivyo lazima ukubali kuwa hakuna mwanamke atakupa K siku hizi ati kwa vile wewe ni handsome.

Nakumbuka enzi hizo tulipokuwa UDSM (miaka yetu chuo kikuu kilikuwa ni kimoja nchini), tulikuwa tunaitwa maTA bubu. Sisi kwa vile hatukuwa na fedha tulikuwa tunajikunja usiku kucha ili tuweze kufahamu somo ili baadaye tuwe tunafundisha pisi kali. Ukimtia U-TA mwisho unaomba K, akikataa nawe humfundishi. Hivyo nao ulikuwa ni umalaya maana anakuja kwako umfundishe in return akupe K. Huo nao ni umalaya maana usipomfundisha hakupi K. Nipe nikupe za Mzee Panchi.

Tuingie katika ndoa, Mke wa ndoa anaomba hela amtumie mama yake, ukimnyima, usiku anakunyima K. Nao ni umalaya maana anatumia Natural Resources kutatua shida zake. Ukimpatia, anakueleza kuwa usiku nawe utaenjoy mume wangu.... huo nao ni umalaya.

Kwa msingi huo, nani ataukwepa umalaya hapa duniani?
 
Hahahaaaa 🤓🤣
Eti na ya kutolea, mzungu kweli hakupata mtu sahihi, na sister alimwona kama Dewji !
Mtihani sana, ndo mana Kuna campaign vijana wameanzisha ili utongozwe lazima uwe na kazi inayo tambulika, uwe na pesa, uwe na vitu vya ndani tofauti n hapo unaliwa unaachwa
 
Suala la sex ni la wote kwanini huwa mnaona anafaidi mwanaume pekee?
binti kiziwi ngoja nikusaidie, huyu hajui kuwa siku za msichana kuwa na uhanga ni ndogo sana ambapo kwa mwanaume ni kila siku. Msichana akiwa na uhanga akajimwagia maji ya moto mambo shega. Ila mwanaume kama umezoea kuzitoa ndani ya mwili wa mtu, hata upige punyeto haitasaidia, lazima uzitolee ndani ya mwili wa mtu. Hivyo wanaoumia na uhanga wakuu ni sisi wanaume
 
Na siku hizi wamekuwa wazi haswa utamsikia Mimi nataka mwanaume mwenye hela akiitwa Malaya anakasirika au wanamsemo Mimi siwezi kukupa Bure na akija ghetto lazima atataka umwachie na hela japo kala vizuri na sex kaenjoy kama sio u Malaya ni Nini?
Na nyie mnawakubalia?

Una weza kumuona mwanamke ukaanza kupanga mipango ya biashara kuubwa naye. Kichwani kwako.

Halafu anajidharaulisha kwa kudanga pesa ndogo.

Unaona kabisa huyu mambo makubwa hayawezi, unamkimbia.
 
Uzuri ni kwamba kuna option ya kununua, tena tunanunua wadada corporate kabisa.

Unakutana na mdada, unamwambia mkutane ila dau lake ni 50k, mnafanya bargain hadi 30k na kumalizana bila usumbufu. Kesho unakutana nae kumbe ni nurse wa hospitali kubwa kabisa mjini au ni mdada yupo zake NSSF ni mhasibu.

Life's simple as that.
😀😀😀 Sometimes ni sisi wenyewe tunafanya mambo mepesi yawe magumu.
 
Wanawake wanamaanisha ukitaka mbunye utoe hela sababu umewaomba wakupe. Ni mabadirishano ya pesa na mbunye sasa sijajua na mwanamke akimtaka mwanaume ampe pesa pia.So, ni biashara ileile tu kwa kifupi...wengine wameamua kuifanya iwe biashara yao halali kwao na wengine basi wanaifanya kwa mgongo wa mwanaume ndo mtoaji. kama ingekuwa wakati wa barter trade basi tungekuwa tunabadirishana Mbunye kwa chumvi au mbunye kwa vinyago, mbunye kwa shanga au kioo.
Kutoa pesa ili kula mbunye sio tatizo, ila iende taratibu muelewane mue kwenye njia moja halafu kukolezea ndio pesa ianze kutumika sasa, lakini sio leo nakutongoza kesho tayari kuna birthday, simu yake imevunjika , hana bando yaani ni umalaya mtupu..
 
Kundi kubwa ni asilimia ngapi na dogo ni asilimia ngapi? Namba zako unazipata wapi? Hata kama huna namba, una justification gani?
Sina exact numbers, ila hali ni mbaya hata kwa kutazama kwa macho tu, ukiwa huku na ukawa mtu wa kujichanganya utaona, ukikaa mtandaoni iko wazi, ukiwa kwenye groups utaona pia! inamaana kama tatizo halijasambaa sana lisigetapakaa kila kona, katika maongezi na marafiki, sehemu za starehe vyuoni n etc..
Kusema utamaduni wa mahari hata wewe umeukuta na huwezi kuupinga ni "argument from tradition" logical fallacy.

Tamaduni nyingi mbaya watu wamezikuta na kuzipinga. Kulikuwa na utamaduni wa utumwa umepingwa, umeondolewa. Kulikuwa na utamaduni wa kutoruhusu wanawake kupiga kura, umepingwa, umeondolewa.

Kwa hiyo usijifiche kwenye chaka la utamaduni, that is a logical fallacy.

Kwenye kusema sana tatizo lilivyo bila kujipanga kulitatua, hii ni habari ya "admiring the problem".

Nilikuwa nasoma kitabu cha Samantha Powers, alikuwa National Security Adviser wa Obama na baadaye Balozi wa US at The United Nations. Aliandika maisha yake katika kitabu chake "The Edication of an Idealist : A Memoir".

Katika kitabu chake hicho anaelezea alivyokuwa anaingia serikalini, anataka kutatua matatizo. Lakini kila akitaka kutatua matatizo, anaambiwa hadithi nyingi za ukubwa wa tatizo, tatizo lilivyoanzia mbali, tatizo lilivyo kuwa limetapakaa.

Lakini yeye hakutaka ku admire the problem, alitaka ku solve the problem.

Umegusia mambo kuanzia mbali.
Umeeleweka hapa, ila kwenye kuwa heroine na kusolve hili jambo sio rahisi kama unayofikiri, hizi jamii zetu, ni ngumu sana, tutapunguza ukakasi labda mahari zitapungua.. mfano ndugu zetu waislamu wanatoa chochote hata msaafu tu freshy, huenda tukiendelea hivi ipo siku itatoweka kabisa! lakini kwenye jamii yenye imani tofauti tofauti na tamaduni zake huwezi kuibuka tu kulifuta jambo ambalo halioneshi tatizo kwa wanaofaidika nalo, huwezi kulinganisha mahari na hamful practices kama FGM, hili limekaa ki-luxurious sana.
Sawa. Basi tuwafundishe binti zetu kujitegemea tangu wadogo, wasiwe madanga. Tuwajengee uwezo ili tusiwalaumu wakati wao ni victims wa societal norms.
Hiki ndio kitu kikubwa zaidi, Strong societies are built from strong homes.. hatuwezi kupata matokeo ya mabinti wasio ombaomba kama mzazi hawezi kujenga msingi mzuri, hebu fikiria binti anyepata mimba kwa kushiba chips ya buku 3 tu, fkiria mtu hana hata nauli ya kumfikisha sehemu tu mara vocha saa nyingine haifiki elfu 5, sijui kusuka! yani hizi ni sababu za kipuuzi na sio basic needs mpaka mtu atake kwa mwaume in exchange of pussy, its weird right? Mimi ninaamini ukimjenga binti yako vizuri huwezi kumkuta katika hayo makundi, ya kusingizia magonjwa,mara kodi sijui mjomba amemeza shoka! mimi nilisuport in terms of defence mechanism and not otherwise..
Ukishabikia utamaduni wa kudanga, husaidii kuumaliza, unasaidia kuongeza tatizo.

So, naona hapa wengi tuna admire the problem kama alivyosema Samantha Powers, hatutaki hata kuanza kazi ya ku solve the problem.

View attachment 3601122

This quote from Samantha Power, former U.S. Ambassador to the United Nations, struck us as the raison d’etre of Catalytic Thinking.

“We must resist the temptation to spend our time admiring the problem. Rather, we must urgently work for the world we seek.”
Thanks for the education, its great to learn and unlearn stuffs! you really humbled me that one!
yani wanihadekejaga ghete e'lelo nyandebhe' 😅
 
Nadhani mimi ndiyo sielewi. Kwani mwanamume anamtafuta mwanamke ili wafanye biashara? Au wajenge barabara? Ninavyojua Mwanaume unamtafuta Mwanamke ili akupe K. Mwanaume unategemea nini kutoka kwa mwanamke. Nieleze wewe. Na yeye anatafuta mwanaume ili akamtimizie shida zake si dushe ujue
halafu siku hizi mpaka mahohehae na matahira mandazi wanatumia hako kamsemo! saa ingine hana hata cha maana naye mlala hoi tu kama mwenzie, sijui wanataka tulete nini, familia zetu au? wanalazimisha mambo mwishowe wanaletewa watoto wa nje! haya mimi naleta chumvi na nyanya, stupid!
 
Back
Top Bottom