Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Alitaka mkopo
Sio kwenye ngono tu, tabia ya wanawake wa bongo kuwa ombaomba imesambaa kwenye masuala mengi.

Hata bar umetulia zako anajisogeza demu kuomba umnunulie bia au mhudumu anakufuata anakuambia yule dada pale anaomba brutal.

Umekutana na mwanamke sehemu ya wanapouza chakula ataomba umnunulie chipsi.
 
Wanaume huwa hawawaachi wanawake kwa sababu wamejipata , Hilo jambo sio kweli kabisa, wanaume wanaweza kuachana na wanawake wao baada ya kukutana na wanawake wanaowapenda zaidi na hii haimaanishi mara zote walikuwa wanampotezea mwanamke muda, tofauti kubwa ni kwamba wanawake wengine pia huachana na wanaume zao katika dating baada ya kukutana na wanaume wanaowapenda zaidi, wenye pesa, mali, umaarafu au wenye malengo ya kuoa kwa haraka, lakini wanaume huwa hawalalamiki wamepotezewa muda.
Yoda kwenye hili specifically naomba tukubali kutokubaliana.

Tukiingia kwenye mahusiano kila kundi linabeba risk zake, hizo risk ndizo zinazofanya wanaume mtetee wanaume na wanawake tutetee wanawake.

Inahitaji empathy ya hali ya juu sana kuelewa kundi lingine linasema nini, again, who cares?
 
Kama wewe umeombwa saa 8 ukakubali saa 12 nyinyi wote kwa pamoja ni Malaya hiko hivi wanaume wanapenda wapate sex kwa uwepi na huwa wanafurahia sana lakini huyo mwanamke aliompa kwa urahisi hawezi kumpata thamani Hilo lazima ujue.
Kwahiyo kipi ni kipi? mbona kama kila kitu ni kibaya kwenu?

Ulichosema hapo juu kina utofauti upi na nilichosema ninyi wote ni omba omba mnatofautiana tu mnachoombana?
 
Hili ndilo tatizo la sisi wanaume - ubinafsi. Unataka K na kila unayependa akupe K akupe bila yeye kufaidika. Ni muhimu kujua kuwa urafiki ni faida ya wote, siyo mmoja afaidi anachokitaka wakati mwenzake hafaidiki na huo urafiki. Katika urafiki, lazima kila mtu awe na expectations zake. Wewe Unataka K, yeye Pengine anategemea umtatulie matatizo yake yanayomkabili kama vile hela, ndoa, etc. Bila hivyo akupe kwa kukuonea huruma, ili iweje
Sio kwenye ngono tu mkuu. Tabia ya wanawake kuomba omba imesambaa kwenye mambo mengi. Mkikutana bar ataomba bia, mkikutana kwenye mgahawa ataomba umnunukie chipsi.

Hata hivyo demu kama anafikiri anastahili kulipwa baada ya sex, ni suala la kuweka wazi tu kwamba anauza ili mkubaliane bei kabla ya tendo
 
Mara nauli kuna msiba wa bibi😀😀😀 wanaomba vitu vidogo vidogo sana haviendani na thamani zao
Ndo hivyo ni mwendo wa kujidhalilisha tu mpaka kieleweke! 😁
 
Sio kwenye ngono tu mkuu. Tabia ya wanawake kuomba omba imesambaa kwenye mambo mengi. Mkikutana bar ataomba bia, mkikutana kwenye mgahawa ataomba umnunukie chipsi.

Hata hivyo demu kama anafikiri anastahili kulipwa baada ya sex, ni suala la kuweka wazi tu kwamba anauza ili mkubaliane bei kabla ya tendo
Wakati mwingine ndiyo gia ya kukuingia. Sawa na Sisi tunatumia gia ya kuomba namba. Pamoja na Labella alikataa hata kufungua PM yake
 
Sio kwenye ngono tu mkuu. Tabia ya wanawake kuomba omba imesambaa kwenye mambo mengi. Mkikutana bar ataomba bia, mkikutana kwenye mgahawa ataomba umnunukie chipsi.

Hata hivyo demu kama anafikiri anastahili kulipwa baada ya sex, ni suala la kuweka wazi tu kwamba anauza ili mkubaliane bei kabla ya tendo
si huwa wanakubaliana kabisa mkuu au?
 
Nafikiri najadiliana na wrong person. Twende taratibu, kwani ni mara ngapi msichana amekuapproach kuwa anahitaji kukazwa? Naamini ni machangu wanaojipanga barabarani tu nao si kwa ajili ya uhanga bali njaa unayopiga vita, ya fedha. Kwa hiyo, ni sisi tunaowaendea, tusipowaendea, hakuna mtu atakuletea njaa zake.

Hivi unajua kwa siku msichana anaweza kuwa approached hata zaidi ya mara ishirini kwa siku. Au kuombwa namba? Msukuma mkokoteni, yumo; Bodaboda yomo; Watchman yumo; Mhudumu yumo; meneja yumo; Padre naye yumo; Katekista haachwi mbali hta sisi wazee tumo etc. Hapa tuombe mtu kama Seran atuelezee hali ilivyo.

Na je, kila mwanaume anayemuomba akimkubalia itakuwaje? Wakati mwingine ni muhari yeye kuweka vigezo vya atakayemkubalia. Jinsi ya kuengua hao wanaomuomba K, ni pamoja na kukujionesha ana njaa kali ili utimke.

Je ni mara ngapi ume approach wanawake ili wakupe K. Jibu litakuwa ni wengi. Ukiapproach mwanamke ukaona hauendani, si unaachia ngazi tu. Unamuacha aende zake. Sasa tatizo lipo wapi?

Kitu wengi hatukubali ni kuwa mdomo unaongea (kutongoza) na pesa huongea pia. Hivyo inategemea una mdomo mtamu vipi ili uimangue K ya mtu au una hela kiasi gani ufaidi matunda ya nchi hii
Mimi nimejikita kwenye mahusiano na ndivyo mada inavyosema wanawake wengi siku hizi hawana kitu kinacho offer kwenye mahusiano zaidi kulialia shida na ndicho mzungu alichokiaddress
 
Unaona wanawake hawapati faida kwenye kufanyishwa ngono bila kuomba cha ziada kwa sababu ume i commoditize ngono. Umeufanya mwili wako kuwa bidhaa. Unaona faida ni pesa na mali tu. Huoni mwanamke kufurahia tendo hilo bila pesa au mali kuwa ni faida.

Vinginevyo, ungeweza kuona kuwa tendo la ngono linafaidisha wote, mwanamke naye analifurahia, na kama anaona hatalifurahia na mwanaume fulani, amkatalie tu. Hatuhitaji oesa wala mali hapo.

Hizi ni fikra za kimasikini sana. Zina reduce utu wa mwanamke kwenye pesa na mali.

Kwenye umuhimu wa mijadala hii.

Hakuna tatizo linaloweza kuondolewa bila kujadiliwa.

Zamani hoja ya kupinga mahari ilikuwa haieleweki kabisa. Ukipinga utamaduni wa mahari ulikuwa unaonekana mtu wa ajabu.

Leo hii hoja inaanza kueleweka. Kwa sababu ya mazungumzo kama haya.

Tena tunaanza kuelewa kuwa hoja hizi ni za zamani sana, tangu ya enzi za John Stuart Mill na kabla.

Wakati Nyerere anasoma chuo kikuu aliandika paper kupinga suala la ndoa za kulipa mahari kwa kutumia uzoefu wake wa maisha ya kiafrika na usomi wake, hususan wa falsafa za John Stuart Mill.

Lakini kuna watu mpaka leo hawalielewi. Jambo ambalo Nyerere aliliandika akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu.

Sasa unaona kuwa mjadala kuhusu jambo hili ili lieleweke zaidi hauna maana?

Watanzania wangapi waliomsikiliza sana Nyerere miaka mingi kama Mwalimu, mtu wa busara, wanajua kuwa Nyerere alipinga mahari kifalsafa?
Kama huu ni wito, niko tayari kushiriki.

Wakati tunasubiri jamii ifike huko, ibadilike… Kwasasa tuishi vipi? Given hii circumstance ambayo tumeijadili hapa toka saa sita mchana kwa saa za Africa Mashariki.
 
Kwamba wanaume hamjamuelewa Seran au hamtaki kumuelewa?

Mme-normalize umalaya, gharama za umalaya ndio hamzitaki.

Mwanaume anakutongoza asubuhi, jioni anataka kukulala, ila wewe ukimuwahi ukamwambia gesi imeisha sijui bibi kameza kiwembe gafla umegeuka omba omba yeye sio ombaomba.

Nyote ninyi ni omba omba mnatofautiana tu mnachoombana.

As a woman, naelewa 100% kwanini wanawake wana omba omba!
Kama unauza weka wazi kwamba unauza. Kinacholalamikiwa ni ile wanawake kuona they should get paid for been in relationship
 
Wanawake wanamaanisha ukitaka mbunye utoe hela sababu umewaomba wakupe. Ni mabadirishano ya pesa na mbunye sasa sijajua na mwanamke akimtaka mwanaume ampe pesa pia.So, ni biashara ileile tu kwa kifupi...wengine wameamua kuifanya iwe biashara yao halali kwao na wengine basi wanaifanya kwa mgongo wa mwanaume ndo mtoaji. kama ingekuwa wakati wa barter trade basi tungekuwa tunabadirishana Mbunye kwa chumvi au mbunye kwa vinyago, mbunye kwa shanga au kioo.
Ni kweli Mwamba kama unauza weka wazi kuliko unakataa kuitwa Malaya wakati matendo yako yanaonesha ni malaya
 
Natamani uelewe hili ni kundi lipi linazungumziwa hapa, vijana wengi wanaelewa zaidi, hapa sio mahusiano committed, hapa tayari ni ile hali ya kuviziana, kila mmoja anamuwahi mwenzie atakayechelewa tu inakula kwake, achana na hast generalization kwanza, utaona ni kundi kubwa ndio, lakini halibebi hatma ya kila mwanamake!

kuhusiana na utamaduni wa mahari hata sisi tumeukuta na hatuwezi kuupimga, maana ndio heshima yatu inapotafsiriwa, ni kama swala zima la ndoa wangapi hawaandikishani popote na hawafanyi sheehe lakini wanaishi izui tu mpaka mwisho! lakini kwa taratibu zilizowekwa inalazimu wengi wafanye hiyo na wala haina maana yoyote ndani ya ndoa!

swala zima la kuombana pesa linaletelezwa na hali ngumu ya maisha, vileile tamaa na pressue za mitandao! wanaume wenye pesa wana nafasi kubwa sana ya kupata wanawake wazuri kuliko wasio nazo, hiyo imefanya kwa kiasi kikubwa sana wanawake wengi kutamani wanayopewa wengine! mtu anaenda chuoni mwenzie anapaki defender nje, ana biashara mjini hawazi kodi etc.. ukijiangalia wewe unapata ka-bf hakana mwelekeo wowote mnateseka nako na watu wanawacheka! as a human being binti lazima ataangukia hili kundi, wachache sana wanatoboa hapa ni mpaka wawe na ego kama sisi! wale masikini jeuri! hii tabia inaanzia mbali inakomaa mpaka kufikia binti kuwa ombaomba haanzi leo, saa nyingine anaona mzazi wake yupo hivyo, au kwenye tamaa anapitia humohumo! wengine haujawahi kuona mama akiombaomba hata kwabahati mbaya amezoea kukomaa mwenyewe mpaka afikie lengo, tofauti na mabinti wengi anajifungia ndani anafuma mfumo wa kumuingizia pesa kwa style hiyo, akitoka hapo kaia hana cha kupoteza na hajali wala nini, anaanza kupiga simu kila kona anazozijua! swala l kuomba omba si jepesi kama unavyofikiria ni mfumo unatengeneka hapo..

kwa upande wangu nimesupport hili jambo, lakini sijabase kw wauzaji, unasema tusimuweke mwanaume, ila mpaka mwanaume anaombwa pesa inamana amekuja bila adabu! hii wewe unaniombaje sehemu za siri? hatuna mahusiano tumekutana hata lisaa halijatimia unategemea nitakutreat ipi? lazima tutaishia kukokomoana iwe nataka au sitaki!

Nini kifanyike? tulee ,mabinti zetu katika njia zitakazowafanya waone hil jambo sio la kawaida na inawezekana, ukiwa present father kwa mabinti zako, kuna waepushia mambo mengi ya kuanguka katika shimo hilo huku wakifikiri ndio ujanja au usasa, kumbe ni fedheha kwa jamii zisizokubaliana na hili jambo!
Kundi kubwa ni asilimia ngapi na dogo ni asilimia ngapi? Namba zako unazipata wapi? Hata kama huna namba, una justification gani?

Kusema utamaduni wa mahari hata wewe umeukuta na huwezi kuupinga ni "argument from tradition" logical fallacy.

Tamaduni nyingi mbaya watu wamezikuta na kuzipinga. Kulikuwa na utamaduni wa utumwa umepingwa, umeondolewa. Kulikuwa na utamaduni wa kutoruhusu wanawake kupiga kura, umepingwa, umeondolewa.

Kwa hiyo usijifiche kwenye chaka la utamaduni, that is a logical fallacy.

Kwenye kusema sana tatizo lilivyo bila kujipanga kulitatua, hii ni habari ya "admiring the problem".

Nilikuwa nasoma kitabu cha Samantha Powers, alikuwa National Security Adviser wa Obama na baadaye Balozi wa US at The United Nations. Aliandika maisha yake katika kitabu chake "The Edication of an Idealist : A Memoir".

Katika kitabu chake hicho anaelezea alivyokuwa anaingia serikalini, anataka kutatua matatizo. Lakini kila akitaka kutatua matatizo, anaambiwa hadithi nyingi za ukubwa wa tatizo, tatizo lilivyoanzia mbali, tatizo lilivyo kuwa limetapakaa.

Lakini yeye hakutaka ku admire the problem, alitaka ku solve the problem.

Umegusia mambo kuanzia mbali.

Sawa. Basi tuwafundishe binti zetu kujitegemea tangu wadogo, wasiwe madanga. Tuwajengee uwezo ili tusiwalaumu wakati wao ni victims wa societal norms.

Ukishabikia utamaduni wa kudanga, husaidii kuumaliza, unasaidia kuongeza tatizo.

So, naona hapa wengi tuna admire the problem kama alivyosema Samantha Powers, hatutaki hata kuanza kazi ya ku solve the problem.

Screenshot_20260604_085344_Chrome.jpg


This quote from Samantha Power, former U.S. Ambassador to the United Nations, struck us as the raison d’etre of Catalytic Thinking.

“We must resist the temptation to spend our time admiring the problem. Rather, we must urgently work for the world we seek.”
 
Mimi nimejikita kwenye mahusiano na ndivyo mada inavyosema wanawake wengi siku hizi hawana kitu kinacho offer kwenye mahusiano zaidi kulialia shida na ndicho mzungu alichokiaddress
Nadhani mimi ndiyo sielewi. Kwani mwanamume anamtafuta mwanamke ili wafanye biashara? Au wajenge barabara? Ninavyojua Mwanaume unamtafuta Mwanamke ili akupe K. Mwanaume unategemea nini kutoka kwa mwanamke. Nieleze wewe. Na yeye anatafuta mwanaume ili akamtimizie shida zake si dushe ujue
 
Wanawake wanamaanisha ukitaka mbunye utoe hela sababu umewaomba wakupe. Ni mabadirishano ya pesa na mbunye sasa sijajua na mwanamke akimtaka mwanaume ampe pesa pia.So, ni biashara ileile tu kwa kifupi...wengine wameamua kuifanya iwe biashara yao halali kwao na wengine basi wanaifanya kwa mgongo wa mwanaume ndo mtoaji. kama ingekuwa wakati wa barter trade basi tungekuwa tunabadirishana Mbunye kwa chumvi au mbunye kwa vinyago, mbunye kwa shanga au kioo.
Hapo tunaendana
 
Uzuri ni kwamba kuna option ya kununua, tena tunanunua wadada corporate kabisa.

Unakutana na mdada, unamwambia mkutane ila dau lake ni 50k, mnafanya bargain hadi 30k na kumalizana bila usumbufu. Kesho unakutana nae kumbe ni nurse wa hospitali kubwa kabisa mjini au ni mdada yupo zake NSSF ni mhasibu.

Life's simple as that.
 
Kama unauza weka wazi kwamba unauza. Kinacholalamikiwa ni ile wanawake kuona they should get paid for been in relationship
Na kama siuzi mwisho wa siku napata nini kwenye hayo mahusiano ili nithaminishe uwepo wangu hapo, assume na mimi nakutaka pia… (umenitongoza na mimi nataka kukubalia)

Wanawake sio wajinga, mbona watu kibao tu wanaendesha mahusiano bure…. ninyi mnaotozwa ushuru lazima mjihoji nia zenu!!!
 
Back
Top Bottom